Naomba niwaletee chombezo tamu la kukutia hamu na kujifunza pia na kukupunguzia mawazo hasa utawala huu wa kutia stress
JAMBAZI MTAMU-1
MTUNZI :GEOFREY MALWA
Tazama,palikuwa na kikundi...
Ni ngumu sana kuishi na mwenza kama huyu. Mchoyo wa hisia, Mchoyo wa wema, Mchoyo wa utu.
Knachofuatia ni mateso ya kisaikolojia na kujikuta unaishi for nothing kwa maana unakuta for many years...
Habari za Friday 13th
Niende moja kwa moja kwenye mara.
Demu wako anapambana kwenye daladala kupata siti kutoka atokako, anabanana kweli kweli, joto kali, jasho jingi humo kuna walevi, wabwia...
Wakuu habari za mihangaiko
Mdogo wangu anenifuata kuzaliwa juzi kati nusu apoteze maisha. Sababu ni mume wa mtu kampiga kibuti.
Huyu mdogo wangu ameolewa na anaishi na mumewe. Alikutana na jamaa...
Jamani moja ya changamoto za kuoa ni tatizo la kupewa jukumu la kuongezewa majukumu wakati Maisha magumu.
Naishi maeneo mkoa wa Pwani; kama mnavyojua, hawa ndugu zetu wanapoteza muda muda mwingi...
Kutokana na joto joto la mahaba kuwa juu, wana ndoa wengi walikwenda mbali hadi kufungua akaunt za pamoja katika benkj mbali mbali.
Kwa tathmini yangu akaunt za aina hii nyingi kwa sasa ziko...
Mwenye picha hapa chini ni rafiki ambaye nliwahi kukaa nae mwanza mitaa ya Police kirumba akiwa mfnyakazi wa KIVULINI, mitaa ya MLANGO MMOJA, baadae alihamia DAR mpk Leo sijuii halipo, naomba...
Habari zenu wakuu,
Mimi binafsi, namshukuru aliyeniumba kwa kuendelea kunipa uhai. Leo nimeona nitumie hii pumzi kuwajuza wale wanaotegemea kuoa au kupata jiko suala moja muhimu sana.
Tabia za...
Guys,
Naandika post hii kwa uchungu na hasira juu ya huyu kipenzi cha mimi, daah anapenda sana kununa bila sababu yaani akiamua kua kisirani hadi naogopa.
Nipo nae for almost 5 years now, yuko...
Hivi kuna house maid. Au msaidizi wa kazi asiye na kasoro kweli kwenu enyi wanawake mlio olewa..?
Mke tangu aolewe ana miaka mitano au sita lakini kishamaliza wasaidizi zaidi ya saba.! Kila ajaye...
1. Bahati mbaya ukifumaniwa usije kukiri kosa.. Kataa hadi chozi litoke.
2. Haya ni baadhi ya majina unayoweza kuwasave michepuko.
Vodacom ofa
Tigojirushe
Instamoja
Sportpesa nk
Hizo sms hata...
Wasalaam
Jamani! Maisha yamekua magumu sana! Especially kwa wanaume kua na mahusino na mabinti wa Kike! Hivyo inatulazimu baadhi yetu tuachane na mahusiano tutafute tu wadada wa kupoza nyege...
Habari jukwaa hili leo niwaleteeni sifa nne za kumpata mke mwemaa kama uislam umavyofundishwaa. Kwa mujibu wa hadithi ya Mtume Muhammad mwanamke anaolewa kwa sifa nne
Sifa hizo ni.
Uzuri wake...
Habali wakuu
Tunakoelekea mwisho wa mwaka ngoja niwape story nyepesi nyepesi kama ukufanya malengo mwaka huu usikate tamaa mwakani unayo nafasi ya kufanya makubwa.
Back to the point wiki iliopita...
Hii ni awakening tip kwa wanaume wenzangu.
Uli uwe na mafanikio katika maisha yako unapaswa ku date mwanamke mwenye akili na sio mwanamke mwenye makalio makubwa.
Wanawake wenye makalio makubwa...