Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana jukwaa, Naomba kuuliza tu kwa wanaoifahamu vizuri taratibu ya kufunga ndoa ya kanisa Catholic. (RC) Ndugu yangu anataka na ndoto yake ni kufunga ndoa ya kanisa Catholic, Lakini...
1 Reactions
13 Replies
8K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kuna siku Kaunga alisema hapa, Life of a woman begin at 30 nikamuona mwanga tu, hana lolote life of a woman ends...
48 Reactions
175 Replies
19K Views
Wasalamu wana MMU natumaini mu wazima wa afya, nawatakia weekend njema na maandalizi ya X-mass pamoja na mwaka mpya. ************* Kipindi nko chuoni nilikuwa na GF wangu ambaye...
2 Reactions
89 Replies
13K Views
Habari zenu wana MMU. Watu wanasema " Mwanao na Mwana wa mwenzio ndio mji ukavuma" kuna jamaa anaishi sehemu kijiji cha nyumba kama 6 dada na ndugu ndio jirani zake. Toka jamaa akae hapo na mke...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Heshima kwenu wapenzi wa jukwaa La MMU. Naomba tushirikishane taratibu za kuzingatia pale unapooa binti wa kabila lako,Ama kwa kumtorosha au kuchumbia, .Hii itasaidia kwa washenga kujua wapi pa...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Anasimulia Bokoman Mwana Mkongoman. " Toka nmeoa huu ni mwaka wa pili sasa.tumefanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike.nampenda mke na mtoto pia. Tatizo mke anajua nampenda na amefikia hatua sasa...
18 Reactions
31 Replies
5K Views
Marafiki ni watu muhimu sana katika maisha,ingawa kwa asilimia kubwa si watu wa kuwategemea sana hasa nyakati zenye changamoto nyingi. Ni vizuri kuanza kuwatathimini mmoja mmoja ili uingiapo mwaka...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Deus Mkombozi KiraFollow December 9 at 10:45 PM HABARI YA KUSIKITISHA NA LENYE FUNZO KUBWA NDANI YAKE!!! Juzi nilihudhuria msiba wa rafiki yangu mmoja na mkewe. Yeye na mkewe walifariki kwa ajali...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Ananipa mapenzi yote bila kipimo... Huyu mdada nimekuwa naye kimahusiano zaidi ya miezi sita sasa, yeye ni mke wa mtu nami ni mume wa mtu. Akija kwangu atanihudumia kama mumewe mfano kufua...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Mwanaume unajuana naey WhatsApp huko. Si unajua magroup haya, mara la primary, la sec, la Kijiji, la chuo, la mtaa, la biashara, la kilimo, la ma ex, etc Katika hayo yote, kuna mafisi tu huwa...
14 Reactions
39 Replies
10K Views
Mwanaume aliekamilika mwanandoa anaweza kufanya mapenzi mara ngapi kwa siku/wiki? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
31 Replies
7K Views
Habari wana chit-chat. Huwa sina mila za kuandika chochote katika jukwaa hili zaidi ya kusoma tu mada na michango ya member wengine. Lakini leo kuna kadhia ambayo imenifanya na mimi nije kuandika...
3 Reactions
34 Replies
7K Views
UJUMBE: HUJAOA/ HUOI MALAIKA, UNAOA BINADAMU. Habarini wadau, Kama unaoa binadamu basi lazima atakuwa na mapungufu flaniflani. Unakuta boya akija maskani au akiwepo popote anamsifia mwanamke...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu Kweli nimeamini ijumaa 13 siyo siku nzuri kabisa, inshu ipo hivi, jana mida ya jioni hivi nilikua nina nilikua na miadi ya kukutana na demu wangu na kweli ilikua hivyo kwani tulianza...
9 Reactions
69 Replies
5K Views
Unategemea kumfanyia tukio gani la kushtukiza mpenzi wako ifikapo usiku wa kuamkia tarehe 1/1/2020. Kwa upande wangu siku hiyo nitalia sana na atakaponibembeleza nitampa zawadi ya ajabu sana...
1 Reactions
68 Replies
5K Views
Ndio.... Sheria inaweka bayana kwamba endapo ndoa itavunjika basi MAHALI ITARUDI. Hii ni kwa mujibu wa sheria ya kimila ya Hali ya watu, pia imerejewa na uamuzi wa Makupila Chalo Vs Mninda Mdama...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
Obamas Expected to Have Sex in White House, Insiders Say In what is sure to be a controversial move, President-elect Barack Obama has indicated to his inner circle of advisors that he and...
0 Reactions
37 Replies
15K Views
Wakuu!!! kwa kawaida mimi ni mtu wa kuchagua sana mtu wa kua nae kwenye mahusiano...pamoja na hilo chaguo langu la mwisho lilinijeruhi moyo wangu kisawasawa, nikaamua kuweka kando mambo ya...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Raha katika nyumba ya kupanga ni kuwa, hutakaa uwe mpweke. Kuna vituko na vitakuchekesha na kujuhuzunisha . Kama hujui kupika wewe jioni kaa na wapangaji wenzako utaona mapushi ya kila aina ...
6 Reactions
32 Replies
7K Views
Kuna hii tabia unakuta mwanaume umepata pesa lakini mara tu baada ya kupata pesa unampigia mpenzi wako ili muonane uweze kumpatia na yeye pesa ya matumizi lakini shida inakuja pale anapogundua tu...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom