Wana ndoa mliofungua joint account mpaka sasa mna sh ngapi?

Wana ndoa mliofungua joint account mpaka sasa mna sh ngapi?

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Posts
3,373
Reaction score
6,808
Kutokana na joto joto la mahaba kuwa juu, wana ndoa wengi walikwenda mbali hadi kufungua akaunt za pamoja katika benkj mbali mbali.
Kwa tathmini yangu akaunt za aina hii nyingi kwa sasa ziko chali.
Wale ambao akaunti zenu bado zinapumua, kujeni hapa mtupe ushuhuda.
 
Sisi hatuwekagi pesa Bank, kwasababu tunaona kama ni upotezaji wa muda na matumizi mabovu ya pesa zetu kwakuwa bado tuna mambo mengi sana ya kufanya. Tumekubaliana kwamba tuta anza kutunza pesa Bank pindi tutakapo punguza baadhi ya mambo yanayo tulabili, na hii itakuwa labda mwaka kuanzia 2025
Kwasasa pesa pekee tunayo itunza ndani ni kwaajili ya dharura pekee, na haijawahi kuzidi kiasi cha 1,000,000
 
Joint huwa na hasara zake lakini msipo kuwa committed na mahusiano yenu, na lazima muww na mutual goals, kama wapenzi /wanandoa kuwa mnafungua hiyo account kwa lengo gani? .. Kama ni ujenzi, au hela za shule za watoto, au ni account ya dharura mnapopata matatizo nk... Nashauri muwe na malengo juu ya hiyo account
 
Hizi ndio account ndugu wa mume wakiwa na shida zinakuwa na commitment kweli ya malengo yake.
Ila ngoja ndugu wa mke awe na shida, pesa ni mpaka zitoke.!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom