Sifa za kumpata mke mwemaa na mme mwemaa

Sifa za kumpata mke mwemaa na mme mwemaa

Northern empire

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2019
Posts
358
Reaction score
463
Habari jukwaa hili leo niwaleteeni sifa nne za kumpata mke mwemaa kama uislam umavyofundishwaa. Kwa mujibu wa hadithi ya Mtume Muhammad mwanamke anaolewa kwa sifa nne
Sifa hizo ni.
Uzuri wake, Mali yake , tabia yake , na mwisho dini yake .mwisho mtume akasisitiza kuwa changua mwanamke mwenye dini utakuwa umepatia
Kwanini dini kwanza ukiangalia sifa zote zilizobaki zina tabia ya kuisha mfano uzuri na mali hivyo ukioa kwa kuzongatia uzuri peke yake utakuwa umefanya kosa kubwa kwan mara nyingi huwa unazidi kupungua kadri umri unavyosonga..na nitumie fursa hii kuwasihi vijana kujiepusha na mihemko wakati wa kuchumbia kwani wengi huwa ndipo wanapoanza kujichanganya na kuja kujuta baadae .wanawake wengi ni wazuri tena saana ila uzuri bila kuwa na dini ni hatari zaidi katika ndoa zaidi ya dini bila uzuri.Najua kunawatu waliokatika ndoa wanajua wengine wanatamani kutoka ila ndo ivo .. Niwasihi mabarobaro kuwa dini si kukaa msikitin au kanisani bali dini hupimwa kwenye matendo ya muhusika .

Pia niwasihi wanawake kuwa wasijifanye wanajua kupenda kwani kwa mujibu wa mtume amesema atakapokujieni kijana mtakaeridhika na dini yake na tabia yake basi muozesheeni .wanawake wengi wameachika na kubakia singer mother ambao wanatukanwa kila kukicha kwa sababu za mihemko na kutofuatilia kwa umakini tabia za kijana anaetaka kuwa nae maishani sasa tahamaki amekuja kugundua ashanasa na kuzakishwa .wakati mwingine huwa naona utamaduni wa wazazi kuwachagulia watoto wao wame ulikuwa mzuri bora unheboreshwa tuu ila wanawake wamejifanya fundi kujua sasa yanawatokea puani.. Niwasihi mabinti mnaoingia kwenye mahusiano muwe makini mto kwani kwa dunia ya sasa pumba ni nyingi kuliko mchele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha hayana formula..
Kitu kinaweza kisikufae wewe mwingine kikamfaa
 
Back
Top Bottom