Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,381
- 5,612
Ni ngumu sana kuishi na mwenza kama huyu. Mchoyo wa hisia, Mchoyo wa wema, Mchoyo wa utu.
Knachofuatia ni mateso ya kisaikolojia na kujikuta unaishi for nothing kwa maana unakuta for many years ana-kuabuse kwa kukuondolea the purpose of joy ya maisha na kinachofuatia ni wewe kuchukia kila kitu ulicho wahi kufikiria au kuanzisha.
Mara nyingi ni watu wa namna hii:
●Mtu ambaye anatanguliza matakwa yake mbele zaidi bila kujali utu wa mwenza wake na hataki kuelewa jinsi utakavyo yachukulia matakwa yake.
●Mtu ambaye anafanya kosa ila hataki kutambua jinsi alivyokuathiri kwa kosa hilo na bado anataka umchukulie poa kwa kosa lake pia anataka wewe ndio umuombe msamaha kwa yeye kukukosea.
●Mtu ambaye ana hulka ya kukupelekesha kutokana na Misingi yake anayodhania ndio muhimu zaidi ya misingi ya maisha yako.
●Mtu ambaye ana penda kutamka changu, wangu, yangu hata kama ni vya kwenu wote.
●Mtu ambaye ana ujasiri wa kupitiliza kwa maana anajiona yeye ndio wa muhimu.
●Mtu ambaye ana ustadi wa kujiweka katika safe zone ya ugomvi na kujionesha kuwa yeye sio mwenye kosa na hata ana hakikisha ndugu au jamaai watakuhukumu kwa jinsi uliovyo react juu yake badala jinsi yeye alivyokukosea.
■Kama ni binti atakuwa ana chukua pesa kisili sili na kuwekeza kwao na siku utashangaa anakuacha ghafla na ametengeneza maisha kwa anavyotaka yeye
■Kama ni mwanaume atakutumia kama chambo cha mafanikio yake na wala ata hatojali sana furaha yako zaidi.
I have been through this na mwenza aliekuwa na huu mwenendo, Nilichoka akili sana coz ni watu wa zito sana kuwavumilia na wagumu kuwaelewa.
BE CAREFUL MY FRIENDS.
Sent using Jamii Forums mobile app