Funzo kwa wanaume wapumbavu

Funzo kwa wanaume wapumbavu

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
6,996
Reaction score
11,887
Habari za Friday 13th

Niende moja kwa moja kwenye mara.

Demu wako anapambana kwenye daladala kupata siti kutoka atokako, anabanana kweli kweli, joto kali, jasho jingi humo kuna walevi, wabwia ugoro, watafuna milungi, mama wenye watoto waliojisaidia anavumilia, anafika kwako Mbagala amechoka yuko hoi kwa purukushani za hapa na pale kwa usafiri wetu wa Dar.

Cha ajabu wewe na akili yako mbovu ile unamkaribisha tu kumpokea mkoba wake ushamvutia kitandani na kumparamia palepale huku unatokwa udenda kwa tamaa za fisi, mtoto wa watu hujui kachoka, anatokwa harufu kwa purukushani za njiani, halafu ukimaliza ujinga wako uliodumu kwa sekunde tatu, akitoka unaanza kuingia JF "Ooooh, madaemu siku hizi hamuogi wachafu kweli, siwapendi jirekebisheni!''

Pumvavu, anza kujirekebisha wewe, kuwa mstaarabu, mkaribishe kwa bashasha, muache apumzike, muandalie maji akoge, ikiwezekana mpe nafasi abadilishe nguo, pafyumu nzurinzuri iwe karibu, muulize angependa kula na kunywa nini, akishashiba mbembeleze aende apumzike kidogo then akishapumzika ndio unze kuichakata K.

Acheni uvulana, kuweni wanaume.

God save us
 
Hahahaah...ngoja waje

Lakini hata huyo mwanamke nae si amelepekwa unyagoni, au hajafundwa?

The way I know, Mwanamke aliyefundwa hawezi kukuruhusu ufanye naye tendo pasipo yeye/ wewe wote kwa pamoja kuwa katika mazingira ya usafi iwe mazingira ya kimwili au location.

Ukiona kuna mwanamke anaruhusu kuingiliwa akiwa katika mazingira machafu kama hayo mwili una mnuka jasho, basi huyo naye atakuwa ndiye wale wale kina CHAUSIKU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, wanaume wa hivyo wana tofauti gani na kuku sasa??! Mapenzi ni zaidi ya ngono.
 
@hearly,Hivi hauwezi kujifunza hadi uispin lawama irudi kwa mwanamke?
 
Hahahaah...ngoja waje

Lakini hata huyo mwanamke nae si amelepekwa unyagoni, au hajafundwa?

The way I know, Mwanamke aliyefundwa hawezi kukuruhusu ufanye naye tendo pasipo yeye/ wewe wote kwa pamoja kuwa katika mazingira ya usafi iwe mazingira ya kimwili au location.

Ukiona kuna mwanamke anaruhusu kuingiliwa akiwa katika mazingira machafu kama hayo mwili una mnuka jasho, basi huyo naye atakuwa ndiye wale wale kina CHAUSIKU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si wote walioenda unyagoni. Hasa sasa wale wa kuanzia 90's

God save us
 
Lakini still Tuna nafasi ya kujifunza me/ke.. kwa sababu Dunia imekua kama kijiji........ mimi binafsi nimejifunza mambo mengi yenye tija kuliko hata yale ambayo niliwahi kufundishwa na wazazi wangu....... mbona wamejifunza kufanya ngono mpaka wamejua.......wanashindwa nini kujifunza mambo chanya kwaajili ya ustawi wa afya zao na usafi kwa ujumla...??

Katika huu ulimwengu wa sasa ukitaka kubaki kuwa mjinga wa jambo/kitu fulani ni wewe mwenyewe umependa
Si wote walioenda unyagoni. Hasa sasa wale wa kuanzia 90's

God save us

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom