Mwenye picha hapa chini ni rafiki ambaye nliwahi kukaa nae mwanza mitaa ya Police kirumba akiwa mfnyakazi wa KIVULINI, mitaa ya MLANGO MMOJA, baadae alihamia DAR mpk Leo sijuii halipo, naomba kujua alipo, kama kuna mtu anamfaham anisaidie kumpata, amayemfaham naomba aniPM...au kama yupoo umuu plz Ni PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app