Habali wakuu
Tunakoelekea mwisho wa mwaka ngoja niwape story nyepesi nyepesi kama ukufanya malengo mwaka huu usikate tamaa mwakani unayo nafasi ya kufanya makubwa.
Back to the point wiki iliopita week days kama juma tano nilikuwa nafanya kazi zangu out of office ilivyofika saa sita mchana nikawa nimemaliza niko free tuu nikaingia pub flani mitaa ya mori pale ,nimeagiza gambe mhudumu akasema njoo ujifiche kaunta kwa ndani hii mida ya kazi muda wa kupiga vyombo bado ,ebwana nikazama nikakutana na wala gambe
wengine kaunta pale kama wa nne vyombo vikaendelea baada ya nusu saa naona mtutu wa bunduki nyuma yangu maaskali wameingia mikwala kibao kuna mshikaji mmoja akataka kukimbia kapigwa kitasa nikasema leo naumbuka ,nikawaambia tuyajenga hakuna mualifu hapa ni utaratibu tu umekiukwa jamaa wakagoma tukatiwa kwenye karandinga aibu kinoma
Nikaawambia chukua ela kadhaa mniachie nikawapa kitambulisho cha kazi wakamind wakasema mfanyakazi mzima unakula gambe time hii.of course nilitoka baada ya muda kidogo ila ile fedheha aikuwa poa nimekula shati suruali na moka napata aibu ile jamani tueshimu mida ya kula maii.
Wazee wa povu ruska