Wakuu habari zenu, kuna changamoto moja binafsi napitia kama kijana, kama ilivyo kawaida kwamba ukiwa huna pesa au msimamo wa maisha ni vigumu sana kupata mwanamke au girlfriend kwa sisi vijana wa...
Nimesoma hii habari na nimeona wanaume wengi wachangiaji wakitamani hii ofa ingewatokea wao.
Nimecheka kinoma jamaa mmoja anasema kama Millard Ayo ana namba ya huyo aliyetoa gari aje amchukue mke...
Wana jf wenzangu mm ni kijana wa miaka 24 kwakweli mapenzi yanani sumbua sana na yameniweka njia panda.
Kuna denti mmoja mwaka kesho anaingia kidato cha 3 nimetokea kumpenda sana.
Huyu denti...
Wakuu umofia kwenuu..
Twende kwenye mada husika. mimi ni kijana miaka 30yrs kwa sasa natafuta msichana mrembo awe rafiki kisha mpenzi.
1. Awe mkristo
2. Shule yeyote above form six
3. Awe mrembo...
Nina mpenzi wangu ni bint mzuri tu,tatizo lake nimemchunguza nimegundua siyo mkweli muongo na mdokozi wavitu, kuna siku nilikuwanae ghetto niliamka asibuhi nikaenda kazini nikamuacha badae na yeye...
Naomba wataalam, mnishauri ndio inavyokuwa katika umri huu au mimi nina shida kisaikolojia. Wakati nilipokuwa ninakaribia 30yrs nilikuwa napenda sana kufanya mapenzi mara kwa mara nikamuliza...
Leo nimecheka sana baada ya kikao cha wanawake tulichokaa salon moja hapa mjini
Kumbe wanaume hawapendi uwambie "Nitakupenda kama utanitimizia mahitaji yangu kama mwanamke au sitajutia kuwa na...
Sijui kama imeshawahi kukutokea kitu kama hichi.
Kuna demu nilitokea kumuelewa sana na katika harakati za kumtongoza akanisumbua sana maana aliniambia kuwa ana mtu wake lakini kama desturi ya...
Katika maisha yangu sikuwahi kuwaza kuua hata nzi kutokana na huruma niliyokuwa nayo.
Watu wengi walipenda kuniita mlokole japo historia yangu yote niliishi maisha ya kutokuwa na dini nikiamini...
This is for you man,
My mind is occupied with mixed feelings...
I just can't hold it anymore...
You said you are going to come soon, (not see you man..) look at you... You are not a lier...
Juzi nilihudhuria msiba wa rafiki yangu mmoja na mkewe. Yeye na mkewe walifariki kwa ajali ya gari, wameacha watoto wawili mmoja wa miaka kumi na mwingine wa miaka minne wa kike, mkubwa ni wa...
MWANAUME ANAEPENDA MTEREMKO NI SAWA NA MBWA HATA UMPE NYAMA KILA SIKU HAWEZI KUACHA KWENDA KUONGEZEA MAKOMBO KWA JIRANI
Deus Mkombozi Kira
Binti mmoja alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu...
Am a gentleman aged between 35 and 40. Am economically stable and having one kid.
Am looking for a matured minded lady, who is single and economically stable, aged from 33 to 44.
I dont care...
Tumezichezea sana akili za wanawake. Tulianza kwa kuwaambia kuwa sisi ni bora zaidi yao. Wakanywea, wakawa wadogo wakiamini hakuna kiumbe duniani chenye ‘manguvu’ na ‘maakili’ ya ajabu zaidi yetu...
Ninaandika hii nikikumbuka tamthilia ya Kenya iliigizwa na Lupita Nyon’go kabla hajakwenda Hollywood.
Vijana walianza mapenzi shuleni. Baada ya kumaliza kidato cha nne waliamua kwenda Nairobi...
Kama mwanaume kuna wakati unagundua ulitua kwenye mti usiokufaa; yule uliyemuamini mwanzo kwamba akiwa mmiliki msaidizi maskani kwako nyumba itakuwa ni edeni ndogo anakwenda ndivyo sivyo, tofauti...
Ndugu wanachama wa chama cha wachepukaji Tanzania(CCWT), CHAPUTA, wanaume wa Dar, wanaume wa mikoani na wanajukwaa kwa ujumla, habari zenu.
Leo kama kiongozi mwandamizi wa CCWT naomba kutoa...
Habari zenu wana jukwaa MMU......
Inaeleweka kuwa kila kitu kinahitaji maandalizi maana hata kula chakula, Kujisaidia (Haja), Kukimbia na vingine vyote vnahitaji maandalizi....
Nisiwachoshe...
Kabla hatujafika mbali naomba turudie kusoma kichwa cha habari. Kimeandikwa ‘Pesa zinatupa wanawake wepesi’ hakisemi ni dhambi kuwa na pesa au kutafuta pesa.
Pesa ni nguvu, na nguvu ni kitu...
Imeshakuwa fasheni sasa hawa wadada wanaojiita waimbaji wa nyimbo za injili kuolewa na kukaa 'siku mbili' ndani ya ndoa kisha kuachana na kuolewa upya au kumangamanga.
Kibaya zaidi wanaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.