Nina above 35yrs kinachonishangaza siku hizi kila mwanamke ninayemuona namtamani

live on

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
791
1,265
Naomba wataalam, mnishauri ndio inavyokuwa katika umri huu au mimi nina shida kisaikolojia. Wakati nilipokuwa ninakaribia 30yrs nilikuwa napenda sana kufanya mapenzi mara kwa mara nikamuliza rafiki yangu akaniambia unapokuwa katika umri kama huo ndio inavyokuwa

Sasa hivi tena katika hi above 35 kila mwanamke ninae muona awe mweusi, mweupe, mwembamba, mnene, mfupi au mrefu najikuta namtamani tu.

Je, enzangu mliotangulia kufika umri huu hivi ndivyo inavyokuwa?
 
Vipi Kuhusu kupata mawazo ya kufakufa(woga kuhusu kifo)
Kuhisi Hakuna mabadiliko yoyote yanayotokea kwa kila kitu unachokifanya?
Vipi Kuhusu matumizi ya pombe na madawa,Yameongezeka?
Vipi kuhusu marafiki ni wale wale au umepata wapya (Umeachana na wa zamani)?
Vipi Unaupenda mwonekano wako au unauchukia?
Unapata usingizi ipasavyo au Usingizi Haueleweki...?
Vipi kuhusu hasira,Una hasira kila mda au upo normal?
 
Ni kawaida hio na hasa kama miaka ya nyuma hukuwa mtu wa totoz, sasa hapo cha kufanya jaribu ku concentrate sana na kutafuta hela, weka malengo makubwa na itakusaidia
 
Mkuu tumia tu wapo kwaajili yetu hao viumbe,kutokana na maelezo yako nahisi mkuu umesoea upadre
 
Kwanza hujatuambia status yako uko single au married. Kama uko single endelea kudanga kama uko married ni dalili za anguko kubwa la kifamilia au kikazi maana utafumaniwa iwe skendo
Nina mke na watoto 2
 
Hasante kwa ushauri
Ni kawaida hio na hasa kama miaka ya nyuma hukuwa mtu wa totoz, sasa hapo cha kufanya jaribu ku concentrate sana na kutafuta hela, weka malengo makubwa na itakusaidia
 
Back
Top Bottom