Inauma lakini maisha lazima yasonge mbele

super black Boy

Senior Member
Oct 15, 2019
135
169
Sijui kama imeshawahi kukutokea kitu kama hichi.

Kuna demu nilitokea kumuelewa sana na katika harakati za kumtongoza akanisumbua sana maana aliniambia kuwa ana mtu wake lakini kama desturi ya wanaume kukubali majibu ya hivyo kwa mara ya kwanza huwa ni vigumu sana.

Hivyo niliendelea kumsumbua, ilifika muda nikaona kama anaanza kunielewa maana ilikuwa ikipita masaa kadhaa anaanza kunitafuta na kuniuliza mbona kimya sana hunitafuti, naishia kumwambia nilikuwa busy na kazi.

Ilipita kama mwezi hivi baada ya kumsumbua sana akanikubalia ombi langu basi nikamshukuru tukaanza mahusiano rasmi.

Siku za kayoyoma akiwa ana shida ya kifedha nilikuwa namsaidia na kama sina namwambia sina na alikuwa muelewa, sasa mwanaume nikahitaji sex na yeye akaniambia nikapime kwanza then ndo tutaweza kufanya sikusita sana maana ni jambo la kawaida kwangu maana najiamini, tukaenda kupima na majibu yakatoka fresh.

Alikuwa hajawahi kuja kulala geto, ingawa alikuwa anakuja na kuondoka na tulikuwa kwenye mahusiano kama mwezi mmoja na nusu hivi. Sasa baada ya kupima na nikamwambia aje geto siku flani akakubali. Basi mwanaume nikajiandaa fresh kwa ajili ya hiyo siku maana nilipanga akija geto lazima nimyoe.

Basi siku ilipofika ya kuja geto, daaaaahh!! niliishiwa nguvu kwa kweli yaani nilitamani ardhi ipasuke niingie ndani humo. Yule binti alichoniambia nikuwa siwezi kuja kulala na ww maana sijawahi kukupenda kabisa maana nilishakuambia nina mwanaume wangu ninampenda.

Aiseeeeee nilitamani nimtolee matusi makali lakini nilimuacha, maana nikikumbuka zile moment ambazo nilikuwa naye karibu maana mtoto kama maziwa nimenyonya sana;... yake nimeshaichezea kama mara tatu hivi halafu leo ananijibu hivyo iliniuma lakini nikajipa moyo konde kuwa haya ni mapito pia!!

Ila wasichana wa siku hizi ni kuwa nao makini sana maana unaweza ukampenda kwa dhati kumbe anakuchora tu ila kwa sasa nimeamua nitafute pesa zaidi ili nije niishi maisha ambayo hawa viumbe hawatanisumbua kabisa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo wala isikupe shida;
Haya ni mambo ya kawaida, jifunze kutokumjibu vibaya msichana kama huyo, jitahidi kuonyesha kuwa hujaumia kivile.
Jitahidi ukiweza uwe unamsslimia mara moja moja.
Huyo atajileta siku moja yakimchachia...fanya yoote lakini usitarajie awe wako kwani huo mzuka wa kuwa hakupendi utakusumbua sana mkiwa mume na mke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom