cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,317
- 7,509
Leo nimecheka sana baada ya kikao cha wanawake tulichokaa salon moja hapa mjini
Kumbe wanaume hawapendi uwambie "Nitakupenda kama utanitimizia mahitaji yangu kama mwanamke au sitajutia kuwa na wewe kama utanijali kama mwanamke"
Mara unapowambia wanaume kauli za hapo juu,hunyong'onyea na hupoteza furaha kwa ghafla
Hivi wanaume wa siku hizi kwa nini hawataki kukumbushwa majukumu yao kwa wanawake?
Mnataka tuwe tunawambia maneno yapi ili muwe na furaha kama njia ya kujali mahitaji ya mwanamke?
Sent using Jamii Forums mobile app