Nimeamini mapenzi yana nguvu sana

RTI

JF-Expert Member
Dec 20, 2018
2,423
7,124
Wana jf wenzangu mm ni kijana wa miaka 24 kwakweli mapenzi yanani sumbua sana na yameniweka njia panda.
Kuna denti mmoja mwaka kesho anaingia kidato cha 3 nimetokea kumpenda sana.
Huyu denti familia yao kwa kiasi fulani ni masikini, kwa hiyo huwa anatembeza vitumbua kwenye ndoo mitaani kuuza,ili apate mahitaji ya familia yake.
Nilianza kumuona huyo denti baada ya kuja ninapo fanyia kazi kuuza vitumbua mwaka 2017 kwa hiyo nika jikuta nimekuwa mteja wake,alikuwa akiniletea vutumbua kila jumamosi na juma pili.
Lakini jinsi siku zilivyo kuwa zinasonga na ana zidi kuja hapo nikajikuta naanza kumpenda,mara ya kwanza nilidhani ni tamaa za mwli zinani sumbua lakini baadae nikagundua sio tamaa zinazo nisumbua bali nasumbuliwa na mapenzi.
Kiukweli ukiniuliza huyu binti nime mpendea nini kiukweli siwezi kukuambia kwa sababu binti ni wa kawaida sana na wala si mzuri kihivyo.
Dah nimeamini mapenzi yana nguvu sana yaan uwezi amini ninapo kuwa mbele ya huyo denti huwa ninapoteza hali ya kujiamini kabisa , na nimejaribu kila njia kumpotezea huyu denti lakini nineshindwa kabisa.
Sasa nimejifikiria nikaona nimwambie tutafute muda mzuri tuongee ili niweze kumuelezea hisia zangu kwake na tuweke malengo ili akimaliza masomo tuoane.
Lakini kuna baadhi ya vitu nikifikiria ninasita.
1:Kwanza sijajua ufauru wake darasani maana kama ana ufauru mzuri darasani basi anaweza kwenda mbele zaidi kielimu hivyo kurazimika kumsubilia muda mrefu sana.
2:Nina hofia wazazi wake wakija kugundua uhusio wetu kwa sababu ya hali yao ya kiuchumi haiko vizuri, basi wataanza kunipiga vizinga au kuanza kuniingizia masuala ya kumsomesha binti yao jambo ambalo siko tiyari hata kidogo hasa ukizingatia na mm bado sija fanikiwa kivile.
3:Nina hofia wenda asinielewe na akanichukulia kama mulaghai mwenye nia ya kumchezea na kumtema ila sina nia hiyo kabisa.
Kwa hiyo basi niko njia panda .
 
Huyo binti sidhani kama amekomaa kiasi cha kukuelewa au kuelewa unapotaka kumwingiza. Utaishia kumpa ujauzito tu na ukimuoa sasa hakuna atakachokileta kwako zaidi ya mwili wake, akili haijakomaa bado. Sio kila mapenzi ni mapenzi sahihi, wenzetu wanafunga ndoa mpaka na Mbwa wakidhani ni mapenzi.
 
Wana jf wenzangu mm ni kijana wa miaka 24 kwakweli mapenzi yanani sumbua sana na yameniweka njia panda.
Kuna denti mmoja mwaka kesho anaingia kidato cha 3 nimetokea kumpenda sana.
Huyu denti familia yao kwa kiasi fulani ni masikini, kwa hiyo huwa anatembeza vitumbua kwenye ndoo mitaani kuuza,ili apate mahitaji ya familia yake.
Nilianza kumuona huyo denti baada ya kuja ninapo fanyia kazi kuuza vitumbua mwaka 2017 kwa hiyo nika jikuta nimekuwa mteja wake,alikuwa akiniletea vutumbua kila jumamosi na juma pili.
Lakini jinsi siku zilivyo kuwa zinasonga na ana zidi kuja hapo nikajikuta naanza kumpenda,mara ya kwanza nilidhani ni tamaa za mwli zinani sumbua lakini baadae nikagundua sio tamaa zinazo nisumbua bali nasumbuliwa na mapenzi.
Kiukweli ukiniuliza huyu binti nime mpendea nini kiukweli siwezi kukuambia kwa sababu binti ni wa kawaida sana na wala si mzuri kihivyo.
Dah nimeamini mapenzi yana nguvu sana yaan uwezi amini ninapo kuwa mbele ya huyo denti huwa ninapoteza hali ya kujiamini kabisa , na nimejaribu kila njia kumpotezea huyu denti lakini nineshindwa kabisa.
Sasa nimejifikiria nikaona nimwambie tutafute muda mzuri tuongee ili niweze kumuelezea hisia zangu kwake na tuweke malengo ili akimaliza masomo tuoane.
Lakini kuna baadhi ya vitu nikifikiria ninasita.
1:Kwanza sijajua ufauru wake darasani maana kama ana ufauru mzuri darasani basi anaweza kwenda mbele zaidi kielimu hivyo kurazimika kumsubilia muda mrefu sana.
2:Nina hofia wazazi wake wakija kugundua uhusio wetu kwa sababu ya hali yao ya kiuchumi haiko vizuri, basi wataanza kunipiga vizinga au kuanza kuniingizia masuala ya kumsomesha binti yao jambo ambalo siko tiyari hata kidogo hasa ukizingatia na mm bado sija fanikiwa kivile.
3:Nina hofia wenda asinielewe na akanichukulia kama mulaghai mwenye nia ya kumchezea na kumtema ila sina nia hiyo kabisa.
Kwa hiyo basi niko njia panda .
Upumbavu mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu acha upumbavu Muache mtoto asome aisaidie familia yake!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka hujanielewa mm sijampenda kwa sababu nataka kufanya naye ngono kwa sababu najua nikifanya naye ngono matokeo yake ni mimba na matokeo ya mimba ni kwenda jera kwa sababu ni nwana funzi mimi ninacho maanisha ni tuweke tu malengo ya kuoana,mambo ya ngono ni baada ya ndoa.
 
Hahahaaa !mwakani anamaliza muoe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nilivyo kwambia sijui ufahuru wake darasani, kama ana ufahuru mzuri darasani anaweza kusonga mbele zaidi kwenye masomo yake kwa hiyo nikarazimika kumsubili kwa muda mrefu sana na mimi uchumba wa muda mrefu huwa siupendi maana mwisho wake huwa ni maumivu tu.
 
Bila shaka hujanielewa mm sijampenda kwa sababu nataka kufanya naye ngono kwa sababu najua nikifanya naye ngono matokeo yake ni mimba na matokeo ya mimba ni kwenda jera kwa sababu ni nwana funzi mimi ninacho maanisha ni tuweke tu malengo ya kuoana,mambo ya ngono ni baada ya ndoa.
Kisheria hairuhusiwi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanafunzi iwe mnafanya ngono au hamfanyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: R.K
Wana jf wenzangu mm ni kijana wa miaka 24 kwakweli mapenzi yanani sumbua sana na yameniweka njia panda.
Kuna denti mmoja mwaka kesho anaingia kidato cha 3 nimetokea kumpenda sana.
Huyu denti familia yao kwa kiasi fulani ni masikini, kwa hiyo huwa anatembeza vitumbua kwenye ndoo mitaani kuuza,ili apate mahitaji ya familia yake.
Nilianza kumuona huyo denti baada ya kuja ninapo fanyia kazi kuuza vitumbua mwaka 2017 kwa hiyo nika jikuta nimekuwa mteja wake,alikuwa akiniletea vutumbua kila jumamosi na juma pili.
Lakini jinsi siku zilivyo kuwa zinasonga na ana zidi kuja hapo nikajikuta naanza kumpenda,mara ya kwanza nilidhani ni tamaa za mwli zinani sumbua lakini baadae nikagundua sio tamaa zinazo nisumbua bali nasumbuliwa na mapenzi.
Kiukweli ukiniuliza huyu binti nime mpendea nini kiukweli siwezi kukuambia kwa sababu binti ni wa kawaida sana na wala si mzuri kihivyo.
Dah nimeamini mapenzi yana nguvu sana yaan uwezi amini ninapo kuwa mbele ya huyo denti huwa ninapoteza hali ya kujiamini kabisa , na nimejaribu kila njia kumpotezea huyu denti lakini nineshindwa kabisa.
Sasa nimejifikiria nikaona nimwambie tutafute muda mzuri tuongee ili niweze kumuelezea hisia zangu kwake na tuweke malengo ili akimaliza masomo tuoane.
Lakini kuna baadhi ya vitu nikifikiria ninasita.
1:Kwanza sijajua ufauru wake darasani maana kama ana ufauru mzuri darasani basi anaweza kwenda mbele zaidi kielimu hivyo kurazimika kumsubilia muda mrefu sana.
2:Nina hofia wazazi wake wakija kugundua uhusio wetu kwa sababu ya hali yao ya kiuchumi haiko vizuri, basi wataanza kunipiga vizinga au kuanza kuniingizia masuala ya kumsomesha binti yao jambo ambalo siko tiyari hata kidogo hasa ukizingatia na mm bado sija fanikiwa kivile.
3:Nina hofia wenda asinielewe na akanichukulia kama mulaghai mwenye nia ya kumchezea na kumtema ila sina nia hiyo kabisa.
Kwa hiyo basi niko njia panda .
Go and tell her your feelings
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom