Hapa duniani kila kitu ni uongo

Hapa duniani kila kitu ni uongo

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Hapa duniani kla kitu ni uongo, kila mtu ni muongo, isipokuwa kifo tu ndio ukweli pekee hapa duniani vingine vilivobaki vote ni uongo. Na ndio maana binadam wengi km sio wote wanaogopa kifo kwa sababu kawaida ya binadam hawapendi ukweli.

Na uhalisia ukweli huwa huwez kuukimbia au kuuficha. unaweza kujidanganya kwa kuukimbia lakn ipo siku tu utajulikana.

Kifupi hapa duniani kila kitu hakipo km kinavoonekana. Kila kitu kipo tofauti kabisa na unavokiona au kinavoonekana. Usimini chochote hapa duniani. Ishi navyo vizuri lakn usije kujaribu kuamini. Utapotea.
 
Kama kila kitu ni uongo, kasoro kifo, na haya uliyoandika ni ukweli au uongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa duniani kla kitu ni uongo, kila mtu ni muongo, isipokuwa kifo tu ndio ukweli pekee hapa duniani vingine vilivobaki vote ni uongo. Na ndio maana binadam wengi km sio wote wanaogopa kifo kwa sababu kawaida ya binadam hawapendi ukweli.

Na uhalisia ukweli huwa huwez kuukimbia au kuuficha. unaweza kujidanganya kwa kuukimbia lakn ipo siku tu utajulikana.

Kifupi hapa duniani kila kitu hakipo km kinavoonekana. Kila kitu kipo tofauti kabisa na unavokiona au kinavoonekana. Usimini chochote hapa duniani. Ishi navyo vizuri lakn usije kujaribu kuamini. Utapotea.
Umeongea ukweli kabisa ndugu.

Ila kwenye suala la kifo, kila mwanadamu anaogopa sana.
1. Hata Yesu Kristo kwa hali ya kibinadamu aliogopa kifo lakini kwa hekima. Akaomba ikiwezekana kimuepuke.

2. Muhammad mwenyewe alipopewa taarifa za kifo, alimbishia malaika. Tena siyo mara moja! Hadi pale yalipoletwa maua kutoka peponi, akabaki kuyatazama kwa mshangao na mvuto na uzuri wa maua kutoka fildaus (nimetamka Kiswahili ).
Wakati anayashangaa huku malaika anafanya yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom