Leo nataka kuongea na vijana walio safiri nchi za nje kufanya kazi na kuwaacha wake zao

madamu bahati

Member
Dec 8, 2019
5
184
*Leo nataka kuongea na vijana walio safiri nje za nchi kufanya kazi na kuwaacha wake zao*

*Unakuta mtu ameoa weki tu ashasafiri mpaka baada ya miaka miwili kinachoendelea huku nyuma mungu mwenyewe Ndio ywajua kwani ni balaa bin belua*

*Kuoa kwenyiwe ameoa Mwanamke alikuwa na vyuo Kama vitatu hivi akashidwa wanne yeye na Kama nikibinti kilokuwa na vibofriend vyake kabla hata yeye Ndio unaona ameolewa mume kasafiri bado anazini na wengine subhanaAllah mimi hayo nimejionea Haswa*

*Labda niwambie kitu kaka zangu kwa karni hizi tulipo ni wanawake wachache mno wanao jiheshimu miili yao trust me wengi wao heshimu ziro na mtu akikosa heshima ndani Ya ndoa yake ni hasara*

*Usishangae upo huku unatafuta unamtumia pesa mujejenge yeye anakula na wanaume wengine hapo Ndio kwanini mtume alisema ogopa dunia na waogope wanawake,*

*Matatizo yote yanaletwa na kuwacha Dini kila mmoja ywataka wazuri madili hakuna kabisa manake Mwanamke mwenye Dini yake sidhani Kama anaweza toka nje ya Ndoa yake akaleta maradhi,*

*Nanyi wanaume Baadhi yenu huku Sio kwenu Sio Wewe miaka kumi Waenda ukirudi hujali hata hisia zawatoto wawatu alioliwa yupu Kama sofa tu lafutwa vumbi Mtu ywaendelea na shuhuli zake*

*Umeenda umejenga ushapata kautaji kabishara rudi uishi na familia yako Sio kila kukicha upo mbioni wadai bado watafuta Nani alikwambia pesa zatosha Mtu utatoshika na sanda na ubao tu.*

*TAFAKARI*
 
madamu bahati,
Kuna presha za wazazi pia kumbuka huenda nisingeoa kabisa kwa sababu bado ninahamu ya kula shule
Sasa mama mzazi ndo shida anataka apate wajukuu alee wajukuu
Hamna namna ngoja nioe then namwacha hapo kwenye nyumba mie naenda zangu shule ulayaaa yanayojili nyuma ya pazia mie hayanihisu
Nikirudi tunapima ngoma akiwa poa naendelea nae ni mke wangu
Maisha ndivyo yalivyo
 
Haka katabia yunakapenda wasukuma kauowa mke unamuacha nyumbani wewe unasepa kwenda kutafuta mali ....yanayoendelea nyuma huku ni aibu kabisa

Unakuta mwanamke naye hajitambui mashemeji wanakuwa wanapozea tu hapo !! Jamaa akirudi miezi miwili anaamsha tena anaondoka

Matokeo yake watoto wanazaliwa na vichwa kama mapapai unaanza kujiuliza mbn vichwa vya hivi havipo kwenue ukoo wetu
 
Nipo tayari kupigwa na makomandoo wanne Ila siwez kukubali kuoa Yan Bora makomandoo wanivunje mikono
 
*Leo nataka kuongea na vijana walio safiri nje za nchi kufanya kazi na kuwaacha wake zao*

*Unakuta mtu ameoa weki tu ashasafiri mpaka baada ya miaka miwili kinachoendelea huku nyuma mungu mwenyewe Ndio ywajua kwani ni balaa bin belua*

*Kuoa kwenyiwe ameoa Mwanamke alikuwa na vyuo Kama vitatu hivi akashidwa wanne yeye na Kama nikibinti kilokuwa na vibofriend vyake kabla hata yeye Ndio unaona ameolewa mume kasafiri bado anazini na wengine subhanaAllah mimi hayo nimejionea Haswa*

*Labda niwambie kitu kaka zangu kwa karni hizi tulipo ni wanawake wachache mno wanao jiheshimu miili yao trust me wengi wao heshimu ziro na mtu akikosa heshima ndani Ya ndoa yake ni hasara*

*Usishangae upo huku unatafuta unamtumia pesa mujejenge yeye anakula na wanaume wengine hapo Ndio kwanini mtume alisema ogopa dunia na waogope wanawake,*

*Matatizo yote yanaletwa na kuwacha Dini kila mmoja ywataka wazuri madili hakuna kabisa manake Mwanamke mwenye Dini yake sidhani Kama anaweza toka nje ya Ndoa yake akaleta maradhi,*

*Nanyi wanaume Baadhi yenu huku Sio kwenu Sio Wewe miaka kumi Waenda ukirudi hujali hata hisia zawatoto wawatu alioliwa yupu Kama sofa tu lafutwa vumbi Mtu ywaendelea na shuhuli zake*

*Umeenda umejenga ushapata kautaji kabishara rudi uishi na familia yako Sio kila kukicha upo mbioni wadai bado watafuta Nani alikwambia pesa zatosha Mtu utatoshika na sanda na ubao tu.*

*TAFAKARI*
Upo sahihi ila mwandiko wako unachoshaaaa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haka katabia yunakapenda wasukuma kauowa mke unamuacha nyumbani wewe unasepa kwenda kutafuta mali ....yanayoendelea nyuma huku ni aibu kabisa

Unakuta mwanamke naye hajitambui mashemeji wanakuwa wanapozea tu hapo !! Jamaa akirudi miezi miwili anaamsha tena anaondoka

Matokeo yake watoto wanazaliwa na vichwa kama mapapai unaanza kujiuliza mbn vichwa vya hivi havipo kwenue ukoo wetu

Vichwa kama mapapai..hii kali sana mkuu...😅😅😅
 
Haka katabia yunakapenda wasukuma kauowa mke unamuacha nyumbani wewe unasepa kwenda kutafuta mali ....yanayoendelea nyuma huku ni aibu kabisa

Unakuta mwanamke naye hajitambui mashemeji wanakuwa wanapozea tu hapo !! Jamaa akirudi miezi miwili anaamsha tena anaondoka

Matokeo yake watoto wanazaliwa na vichwa kama mapapai unaanza kujiuliza mbn vichwa vya hivi havipo kwenue ukoo wetu

Hahahaahhaha 🤣

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madam Bahati...!

tapatalk_1576656628948.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom