Mambo ya kuachana nayo tunapoingia 2020

Mambo ya kuachana nayo tunapoingia 2020

101 East

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
1,057
Reaction score
2,258
1. Mahusiano yasiyokupa furaha. Ni sumu.
2. Visingizio vya kutoanza safari ya ndoto zako
3. Urafiki usioongeza thamani kwenye maisha yako
4. Kujihukumu kwa kujilinganisha na wengine.
5. Kukubaliana na kidogo kuliko unachostahili

Ongezea[emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli ni mwendo wa kusonga mbele ila yataka ujasiri na maamuzi thabiti la sivyo kila mwisho wa mwaka tutakua tunajiwekea malengo yasiyotimilika
 
Back
Top Bottom