Somo kwa "wadangaji"

Somo kwa "wadangaji"

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,639
Reaction score
220,424
Msome vizuri danga ni mtu wa aina gani. Kama ni mfanya biashara, mwalimu, au fundi bomba basi tumia kifurushi chako ingia Wikipedia usome uelewe dunia ya danga ili mpate cha kuongea.

Usianze kumwaga shida kwa danga mpaka umuone amekolea na bila kukuona siku yake haiendi.

Kuwa wa kileo, nenda na trend za mjini. Angalia pia watu anao hang nao our. Ukianza kuvaa jeans mpasuko kwa danga la heshima utaharibu.

Wewe si mke, kamwe usiulize kwanini amechelewa au kwanini anaharaka, kumbuka kuwa wewe ni mjasirimali.
 
Mapenzi hayana formula...Kitu alichokupendea nenda nacho icho icho..

Msingi kiuno
 
we dada hua topic zako nakuelewa sana sijui kwa nini,
ungekua na mtoto wa kike ambae hajaolewa au kama unae niambie nije nioe kwako,ili uwe mama mkwe wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom