Hivi wanaume mnakwama wapi jamani??

Mambembe

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
2,217
2,000
Wanaume mnakwama wapi jaman?mbona gololi hamzioshi??tatizo ni nini huko uvunguni mbonaa uvundo??


Kutokana na kikao chetu wakina dada wa shoka tunaojuaa shughuli za sita kwa sita, wamenituma kama mjumbe wao kuwakumbusha jamani eeeheee mkiogaaa msisahau kusafishaa na huko kwenye uvungu wa gololi zenu manake daaah mnatupa tabu,wakati tunapaliliaa penzi jaman,

Wanaume hebu kuweni wasafi bwana kumbukeni na kusafishaa huko uvunguni manake sio kwa uvundo huo hadi kero mambo ya kujimwagiaa maji bila kupitishaa sabuni huko mtatuleteaa mafuaa alaaaa......
.
.
NOTE:hakuna wa kujiteteaa karibiaa asilimiaa 90 ya wanaume hamsugui huko so jitahidini bwana there is no excuse

Ndo yule yule mambembe ,
the queen of king bed
Queen of all weather
Unstoppable
 

Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
8,672
2,000
TZ kuna watu milioni 55, tuanze kukokotoa.
milioni 10 wazee.
milioni 15 watoto, miaka 17 kurudi nyuma.
milioni 20 wanawake.
milioni 15 wanaume, hapa tutatoa milioni 5 ya wanaume wenye matatizo mbalimbali ambao kwa namna moja au nyingine utashindwa kufikia gololi zao, kwahiyo watabaki milioni 10 ambao ni marijali.
tuchukue 90% ya milioni 10....
90%/100 x 10000000 = 9,000,000
number don't lie, asilimia 90 ya milioni 10 ni milioni 9........kwahiyo dada yangu hiyo risechi yako ulifanya kwa watu milioni 9??????????
 

Bella Ciao

JF-Expert Member
May 28, 2019
1,784
2,000
Hiyo nguo umevaa kwenye avatar umeifua kweli?

Au ni rangi yake?

Mbona kikwapa cha njano?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom