• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Epuka kufanya haya katika ndoa yako

KIN NIGGA

KIN NIGGA

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
1,003
Points
2,000
KIN NIGGA

KIN NIGGA

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
1,003 2,000
Swala la ndoa ni swala nyeti sana.
Watu wanataka kuingia kwenye Ndoa na Walio kwenye ndoa wanatamani kutoka kwenye ndoa.
Ndoa uwa ni chungu na inawashinda wengi kutoka na maswala ya migororo,uchumi nk...inachangia sana Wengi kushindwa kuendesha ndoa.
Na mambo amabyo yanasababisha ndoa nyingi kuvunjika,katika utafiti wangu nimegundua kwamba ni mambo ya kuepukika.

Uboresha Ndoa yako kwa kufanya haya.

1.EPUKA KUISHI NA MDADA/MKAKA WA KAZI.
Hii imekuwa kama utamaduni kwenye ndoa za kitanzania kuwa mtu akipata ajira au akiwa na vicent anakimbilia kumtafuta mdada/mkaka wa kazi,ili kumasidia majukumu ya nyumbani na wengne wanaenda mbali kabisa wadada wa kazi ndio wamekuwa wanafua mpaka nguo za ndani za mmewe.
Kufanya hivyo Kumbuka kuwa unaishi na mke mwenza.(rangi nyeupe hawana utamaduni wa kuweka wadada wa kazi licha ya kuwa busy na maisha).kila kitu na ratiba tu.ngozi nyeusi inafel sana hapo.

2.KUISHI NA NDUGU.
Ikiwa umeoa au kuolewa,jaribu kujitenga na ndugu zako kuishi nao gate moja,mume au mke ukosa ujasiri wa kufanya vitu vngne kwa kuwaonea aibu ndugu zako.
Ikiwa unaishi na ndugu zako husitegemee ndoa yako kuwa salama maana jua kuna mashemeji,mawifi,shangazi nk..uchangia sana kuaribu ndoa na kila mtu hakosi la kusema juu ya mume/mke wako.kuna mambo madogo ya kuyamaliza ndani nyinyi wawaili lakim ndugu mtu wanayakusa na kuwa gumza ndoa kukosa amaini na ndoa nyingi uvunjika kwa sababu hii.

3.SIMU
Kuna ndoa siku hizi wanawekeana masharti ya kila mmoja kutoshika simu ya mwenzie au moja kati yao hataki mwenzie kushika simu yake,
Epuka kufanya hvyo kwenye ndoa yako mpe uhuru mke/mme wako kushika simu yako pale anapoitaji na usiwe mbishi katika swala hilo maana upunguza sana imana kwa mwezio endapo utamuwekea masharti ya kushika simu yako,ndoa ya aina hii uwa hakuna uaminifu na ndoa bila uhamifu bas uvunjika.

4.MARAFIKI
kaa chonjo na marafiki wanafki wa mme/mke wako,marafiki hawa ni hatari sana kwa Ndoa.......

ITAENDELEA...........
 
Depal

Depal

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Messages
11,159
Points
2,000
Depal

Depal

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2018
11,159 2,000
Hiyo simu unashika unatafuta nini? Ndio mwanzo wa kujitafutia stress zisizo na unalizima.
Karneeee hiii sio me sio ke 80% wote wanachepuka. Kushikiana simu ndio mwanzo wa matatizo.

Kuwa na mdada wa kazi nyumbani sio shida, shida ni pale mwanamke utakapoacha kufanya majukumu yake kisa kunae Dada wa kazi.
 
KIN NIGGA

KIN NIGGA

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
1,003
Points
2,000
KIN NIGGA

KIN NIGGA

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
1,003 2,000
Hiyo simu unashika unatafuta nini? Ndio mwanzo wa kujitafutia stress zisizo na unalizima.
Karneeee hiii sio me sio ke 80% wote wanachepuka. Kushikiana simu ndio mwanzo wa matatizo.

Kuwa na mdada wa kazi nyumbani sio shida, shida ni pale mwanamke utakapoacha kufanya majukumu yake kisa kunae Dada wa kazi.
Kwann tusishikiane simu kama wewe n mke/mme wangu
Kama hakuna uamnifu kati yetu epuka ndoa hyo
 
Chakorii

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,978
Points
2,000
Chakorii

Chakorii

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,978 2,000
Swala la ndoa ni swala nyeti sana.
Watu wanataka kuingia kwenye Ndoa na Walio kwenye ndoa wanatamani kutoka kwenye ndoa.
Ndoa uwa ni chungu na inawashinda wengi kutoka na maswala ya migororo,uchumi nk...inachangia sana Wengi kushindwa kuendesha ndoa.
Na mambo amabyo yanasababisha ndoa nyingi kuvunjika,katika utafiti wangu nimegundua kwamba ni mambo ya kuepukika.

Uboresha Ndoa yako kwa kufanya haya.

1.EPUKA KUISHI NA MDADA/MKAKA WA KAZI.
Hii imekuwa kama utamaduni kwenye ndoa za kitanzania kuwa mtu akipata ajira au akiwa na vicent anakimbilia kumtafuta mdada/mkaka wa kazi,ili kumasidia majukumu ya nyumbani na wengne wanaenda mbali kabisa wadada wa kazi ndio wamekuwa wanafua mpaka nguo za ndani za mmewe.
Kufanya hivyo Kumbuka kuwa unaishi na mke mwenza.(rangi nyeupe hawana utamaduni wa kuweka wadada wa kazi licha ya kuwa busy na maisha).kila kitu na ratiba tu.ngozi nyeusi inafel sana hapo.

2.KUISHI NA NDUGU.
Ikiwa umeoa au kuolewa,jaribu kujitenga na ndugu zako kuishi nao gate moja,mume au mke ukosa ujasiri wa kufanya vitu vngne kwa kuwaonea aibu ndugu zako.
Ikiwa unaishi na ndugu zako husitegemee ndoa yako kuwa salama maana jua kuna mashemeji,mawifi,shangazi nk..uchangia sana kuaribu ndoa na kila mtu hakosi la kusema juu ya mume/mke wako.kuna mambo madogo ya kuyamaliza ndani nyinyi wawaili lakim ndugu mtu wanayakusa na kuwa gumza ndoa kukosa amaini na ndoa nyingi uvunjika kwa sababu hii.

3.SIMU
Kuna ndoa siku hizi wanawekeana masharti ya kila mmoja kutoshika simu ya mwenzie au moja kati yao hataki mwenzie kushika simu yake,
Epuka kufanya hvyo kwenye ndoa yako mpe uhuru mke/mme wako kushika simu yako pale anapoitaji na usiwe mbishi katika swala hilo maana upunguza sana imana kwa mwezio endapo utamuwekea masharti ya kushika simu yako,ndoa ya aina hii uwa hakuna uaminifu na ndoa bila uhamifu bas uvunjika.

4.MARAFIKI
kaa chonjo na marafiki wanafki wa mme/mke wako,marafiki hawa ni hatari sana kwa Ndoa.......

ITAENDELEA...........
Mkuu nitagusuia kidogo hapa wadada wakazi na ndugu pia

kibongobongo dada wa kazi hawaepukiki kabisa.haya ni mawazo yangu.mfumo wa kuishi kama wazungu hatuna.kwenye muda ndo kabisaaaa huyo mzungu kaweza kwakuwa usafiri na kila kitu kinapatikana kwa wakati.ss hebu wewe niambie unatakiwa kazini saa kumi na mbili lakin ili mpka hiyo kumi na mbili ikukute kazini,utakuwa umetoka saa ngapi nyumbani?tayari hapo dada wakazi hawakwepeki.

Kiafrika bado tuna extended family so niwafukzendg kwakuwa sitaki mfarakano kwenye ndoa,weee thubutu...ndoa iko palepale.ubaya huja ndg wakikutawala,hapoa tu.kuna vitu mabavyo havikwepeki mkuu.cha msingi ni kujua namna ya kuishi nao tu.
 
UPOPO

UPOPO

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Messages
2,519
Points
2,000
UPOPO

UPOPO

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2010
2,519 2,000
Hayo uliotaja wala hayana shida, shida zinaanzia kwa wanandoa wenyewe. Kwanza misingi ya wao kupendana ni ipi, wametamaniana tu lakini si watu wakuwenza kuishi hivyo vitu ulivyovitaja hapo juu ni vitu vidogo sana kama wanandoa wakijua misingi wa wao kuoana ni upo. Misingi wa kwanza ni Upendo. Wakipendana kila kitu watafanya kwa kushirikiana, kuwasiliana kupanga mambo yao pamoja, kisali pamoja nk. Msingi wa pili ni kushirikiana kwenye kila jambo. Mkipanga pamoja na kushirikiana Hakuna kinachoharibika kwani kitakuwepo na mawasiliano ya pamoja na uwajibikaji wa pamoja. Kwenye kupanga kila mtu anajua wajibu wake katika ndoa. Mawasiliano, muwe na mawasiliano mkishapanga pale ambapo mnaona hakieleweki hakisongi mbele kwenye mahusiano mzungumze. Kama sex haendi vizuri uinjoy zungumza muweze kuboresha. Kama ni issue ya budget na kipato zungumza mpange mambo yenu nk
 
Vizur sana
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
19,910
Points
2,000
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
19,910 2,000
Saa Nyingine Ndugu Zangu Mjifunze Kuchagua
 
Kaisari

Kaisari

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2012
Messages
3,593
Points
2,000
Kaisari

Kaisari

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2012
3,593 2,000
Swala la ndoa ni swala nyeti sana.
Watu wanataka kuingia kwenye Ndoa na Walio kwenye ndoa wanatamani kutoka kwenye ndoa.
Ndoa uwa ni chungu na inawashinda wengi kutoka na maswala ya migororo,uchumi nk...inachangia sana Wengi kushindwa kuendesha ndoa.
Na mambo amabyo yanasababisha ndoa nyingi kuvunjika,katika utafiti wangu nimegundua kwamba ni mambo ya kuepukika.

Uboresha Ndoa yako kwa kufanya haya.

1.EPUKA KUISHI NA MDADA/MKAKA WA KAZI.
Hii imekuwa kama utamaduni kwenye ndoa za kitanzania kuwa mtu akipata ajira au akiwa na vicent anakimbilia kumtafuta mdada/mkaka wa kazi,ili kumasidia majukumu ya nyumbani na wengne wanaenda mbali kabisa wadada wa kazi ndio wamekuwa wanafua mpaka nguo za ndani za mmewe.
Kufanya hivyo Kumbuka kuwa unaishi na mke mwenza.(rangi nyeupe hawana utamaduni wa kuweka wadada wa kazi licha ya kuwa busy na maisha).kila kitu na ratiba tu.ngozi nyeusi inafel sana hapo.

2.KUISHI NA NDUGU.
Ikiwa umeoa au kuolewa,jaribu kujitenga na ndugu zako kuishi nao gate moja,mume au mke ukosa ujasiri wa kufanya vitu vngne kwa kuwaonea aibu ndugu zako.
Ikiwa unaishi na ndugu zako husitegemee ndoa yako kuwa salama maana jua kuna mashemeji,mawifi,shangazi nk..uchangia sana kuaribu ndoa na kila mtu hakosi la kusema juu ya mume/mke wako.kuna mambo madogo ya kuyamaliza ndani nyinyi wawaili lakim ndugu mtu wanayakusa na kuwa gumza ndoa kukosa amaini na ndoa nyingi uvunjika kwa sababu hii.

3.SIMU
Kuna ndoa siku hizi wanawekeana masharti ya kila mmoja kutoshika simu ya mwenzie au moja kati yao hataki mwenzie kushika simu yake,
Epuka kufanya hvyo kwenye ndoa yako mpe uhuru mke/mme wako kushika simu yako pale anapoitaji na usiwe mbishi katika swala hilo maana upunguza sana imana kwa mwezio endapo utamuwekea masharti ya kushika simu yako,ndoa ya aina hii uwa hakuna uaminifu na ndoa bila uhamifu bas uvunjika.

4.MARAFIKI
kaa chonjo na marafiki wanafki wa mme/mke wako,marafiki hawa ni hatari sana kwa Ndoa.......

ITAENDELEA...........
Hayo ni mawazo yako,. Siyo Sheria.
Kila ndoa Ina mitihani yake. Na ni tofauti kabisa na mwingine kila mmoja ki vyake.
Wote Wana mitihani. Ni jinsi gani una moyo mpana kuyabeba.
Matajiri ndoa zao zinavunjika.
Masikini ndoa zao zinavunjika
Hakuna fomula ....
 
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Messages
9,676
Points
2,000
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2018
9,676 2,000
RUKUSA KUSHIKANA NA SIO KUSHIKIANA SIMU
 
Kamwene kamwene

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Messages
1,107
Points
2,000
Kamwene kamwene

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2019
1,107 2,000
Hapo kwenye ngozi nyeupe umedanganya mkuu,nawafahamu wengi wanaishi na wadada wa kazi,
 
Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
16,977
Points
2,000
Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
16,977 2,000
Nimekomenti kwenye uzi huu kwa hisani ya simu ya #mysoulmate#😊
 
ziloi

ziloi

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2018
Messages
686
Points
1,000
ziloi

ziloi

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2018
686 1,000
Wala ndoa haina sheria ya kuiishi.. Kama wewe ni mwanaume fuata na jali majukumu yako kisawa sawaa na kama wewe ni mwanamke vile vile yafanye uliyoamurishwa kuyafanya na uishi ndani ya mipaka yako. Yaendeni na kuyaishi maisha kutokana na msingi ya dini zenu kwa kujua Mungu yupo na anaishi. Mkishakuwa na uoga juu ya Mola wenu hakika hutokaa ujutie maamuzi ya ndoa yako.
 
Gfive_5

Gfive_5

Member
Joined
Nov 24, 2018
Messages
11
Points
45
Gfive_5

Gfive_5

Member
Joined Nov 24, 2018
11 45
Wala ndoa haina sheria ya kuiishi.. Kama wewe ni mwanaume fuata na jali majukumu yako kisawa sawaa na kama wewe ni mwanamke vile vile yafanye uliyoamurishwa kuyafanya na uishi ndani ya mipaka yako. Yaendeni na kuyaishi maisha kutokana na msingi ya dini zenu kwa kujua Mungu yupo na anaishi. Mkishakuwa na uoga juu ya Mola wenu hakika hutokaa ujutie maamuzi ya ndoa yako.
Umenena vyema boss
 
T

TASLIMA

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2019
Messages
1,194
Points
2,000
T

TASLIMA

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2019
1,194 2,000
Hiyo simu unashika unatafuta nini? Ndio mwanzo wa kujitafutia stress zisizo na unalizima.
Karneeee hiii sio me sio ke 80% wote wanachepuka. Kushikiana simu ndio mwanzo wa matatizo.

Kuwa na mdada wa kazi nyumbani sio shida, shida ni pale mwanamke utakapoacha kufanya majukumu yake kisa kunae Dada wa kazi.
Kwa hiyo ata wewe ukiolewa kuchepuka ni given?
 
Forum statistics

Threads 1,406,700
Members 532,424
Posts 34,523,989
Top