Whats Up wanafamilia wa JF
Ee bwana katika maisha kuna kipindi inatokea haupo katika mahusiano kwa sababu kadha wa kadha either kwa kukosa mwenza sahihi, kukataliwa(Inatokea).. au kuona mahusiano...
Baada ya kuji-exhaust sana kuwaridhiwa watu leo nimepata jibu.
DON'T KILL YOURSELF!
MAXIMUM EXTREME RANGE OF SEX IS 13 MINUTES..
For married men and women only. Stay away from Sex Enhancing...
Kwa sisi tusio kuwa na wivu kama mimi Zero IQ,
Hakuna Raha kama kuwa na Mpenzi malaya alafu huyo Demu akuelewe wewe msela kwa mtwango unaompa,
Ni kweli kuna muda inauma kusikia mpenzi wako katoka...
1. Mwanaume hutafsiri heshima kama mapenzi hivyo kadri anavyoheshimiwa ndiyo anavyoona anapendwa zaidi wakati mwanamke anahitaji kujaliwa, kusikilizwa na kubembelezwa ndipo atafsiri Upendo.
2...
Sihitaji mwaliko wa sikukuu wa online..
Haiwezekani mambo yote yawe online tu; kuchat online, kutuma ujumbe online, ku-fake maisha online, uchumba wa online, Mapenzi ya ki-online n.k. Hapana...
Hapa kwetu tuna jirani yetu anaitwa Victor ambaye ni mshikaji wangu sana. Victor ana mke anayempenda sana. Amemfungulia biashara lakini pia amemnunulia gari aina ya mark x.
Nikiwa nipo maeneo ya...
Huyu mrembo simuelewi,
Ananipigia simu muda wa majeruhi kuanzia saa tano usiku na kuendelea tena kwa 'video call' huku akiwa kama alivyokuja duniani.Wakuu huyu mdada ana uzalendo kweli..kwa afya...
Nilimpata Mke wangu kwenye platform hii! Lakini amekuwa pasua kichwa mno
Akikosa inabidi nimwombe msamaha
Leo nimekuta chati ndefu ya kimahaba na mwanaume mwingine whatsapp. Nimemwomba simu yake...
Tugombane Mimi na wewe na uamue kuchukua maamuzi ya kunipeleka kwa bosi wangu. Lengo lako ni
-Nifukuzwe kazi?
-Tugawane mshahara?
-Kujitongozesha kwa bosi?
Ushauri: Tukigombana na tukashindwa...
Katika msururu wa barua kutoka Afrika, mwandishi Zeinab Mohammed Salih anaangazia swala la ukeketaji kwa mara ya pili nchini Sudan.
Baadhi ya wanawake nchini Sudan Kusini wameamua kufanyiwa...
Habari wana JF...
Moja kwa moja kwenye mada, kumekuwa na maswali ambayo watu walio kwenye mahusiano, waliowahi kuwa kwenye mahusiano na wanaoingia kwenye mahusiano yanawatatiza na kuwapa wakati...
Wana jf habari zenu?
Mwenzenu nashindwa kuelewa hili. Ni miezi saba imepita tangu tutengane na boyfriend wangu. From no where, akanitafuta kwa simu tukaongea mengi na bla bla bla nyingi.
Baada ya...
Nimekuta leo kuna jamaa anasemwa vibaya kisa chakula nikaskia uyu jamaa kazi yake nkupita tu kwenye majumba ya watu kudoea chakula leo utamkuta nyumba hii kesho hii yan ni bora mtu ukaa na njaa au...
Wana JF habari za uzima
Nina mpenzi wangu ambaye nimekuwa nae kwa muda sasa japo sijashiriki nae sex.
Nimemuahidi kumununulia zawadi je, ni zawadi gani ambayo ataipenda
Na isiyo na bei kubwa...
Getting into a new relationship is like getting tickets to a destination that you know nothing about. It’s exciting yet nerve-wracking.
Think of your relationship as a train or bus that is taking...
Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale.
Nijikite kwenye mada bila kupoteza wakati nimekuwa nikiona watu wengi wadhifa wao kudharaurika kwenye ngazi ya familia mpaka jamii nzima kwa ujumla...
Za Asubuhi?!
Jamani mimi ni mwanaume mume wa mrembo niliyekubali kuishi naye mpaka kifo changu.
Nina miaka kama minne ya ndoa. Mke wangu amekuwa akisisitiza sana kuwa tuinvest kwenye ardhi...
Kama sio mgeni na jamii forum, utakubaliana na mimi kuwa kumekua na utitiri wa nyuzi nyingi watu wakijinasibu kula matunda kilaini, lakini ni imani yangu kuwa lazima kutakua na upande ambao wote...
Habari ya muda huu wadau. Mimi ni kijana mwenye miaka 27. Ni mzaliwa wa mkoa wa iringa lakini kwa sasa Nipo mkoani morogoro wilaya ya kilombero mji wa Ifakara. Nina shahada na nimeajiliwa hapa...
Heri ya week-end, Wakuu? Baada ya salaam na tuendelee kuchangamsha akili sambamba na kuburudika pamoja.
Swali/Je!Wakati tunapofanya mapenzi (Sex) kwa mwanaume na mwanamke kuna anaepata raha zaidi...