Kama Haupo katika mahusiano huu uzi ni kwa ajili yako!

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Whats Up wanafamilia wa JF
Ee bwana katika maisha kuna kipindi inatokea haupo katika mahusiano kwa sababu kadha wa kadha either kwa kukosa mwenza sahihi, kukataliwa(Inatokea).. au kuona mahusiano haya Nafasi kwa wakati husika kwako!

Kwa Mfano mimi sipo katika mahusiano kwa sababu kwa kipindi kirefu sijavutiwa na mwanamke! Je wewe ni kwanini haupo katika Mahusiano??

Pamoja na Kwamba hatuwi katika mahusiano kuna changamoto lazima tunakutana nazo kwa mfano wale jamaa wa nyegezi wanazidi unashindwa ukawapunguze wapi!

Je unakutana na Changamoto gani kwa kuwa Single?

Tiririka!
 
Dah! Mkuu, mi nikwasababu najiona sijamuona wa kunipenda kwa dhati, na wakunijari hisia zangu,, hivyo ndomaana naamua kukaakimya na kula kwa macho kwasababu mim sio mtu pendagi mtu muongomuongo, micharuko n.k

Nihayo mkuu.
 
Pole sana kiongozi.. Mapenzi ya kweli Yaja!
 
Ndo uhalisia mkui, si wajua bna ukiwa na mtu wa kukupa fraha, mwenye kukujali na kukushauri uwapo na stress kipi cha kufanya kua inakua ni raha??

Lakini sasa kama huna hata wakushea nae idea akakusaidia hata mawazo, tulizo la moyo unachokitaka yaan mtu unaishia stress zisizo za nchi hii yani ilatu ndo hivyo napambana japo hali hii kuzoeleka ni ngumu kiasi kikubwa.
 
Back
Top Bottom