ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,490
- 8,305
Mambo vipi waheshimiwa.
Mabaharia wangu si mnajua vile unakuwa unasumbuliwa sana na wife/demu home. Mara hivi mara vile, ugomvi kidogo anatishia kukuacha.
Sasa akileta habari hizo wewe jitoe ufahamu siku moja umwambie unamuacha wewe. Utanishukuru baadaye!
Kwa nini ukubali kuachwa? Ukipigwa matukio anza wewe kutangaza kuacha.
Hi inafaa sana hata kwa mabaharia; usingoje kuachwa, kwani kuacha shin'ngapi?
Ni lazima ujithaminishe hata kama utalia baadaye.