Wanandoa: Wanawake mnafanyaje kumzoea mwanaume aliye serious?

mtoto mpole

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2010
Posts
678
Reaction score
148
Hivi mfano una mume unampenda sana,unamuheshimu mno lakini kama unamuogopa flan hivi je wadada mnafanyaje kuiondoa hii hali yaani umzoee mumeo uwe free nae sana.

Unajisikia kumtania kila wakati mnafanyaje labda mind you una mume ambae ni serious kidogo ana majibu dry saa nyingine mnafanyaje jaman yaani umfanye mume akirudi umbusu umsumbue sumbue hivo such kind of romantic love.

Mume mwenyewe ndio serious kidogo simu yupo addicted nayo unamfanyeje fanyeje, imagine ndio 3years ya ndoa yenu, wewe mdada unataka uibadilishe iwe in romantic way unafanyaje? Wakaka mnapenda kufanywaje ili angalau uwe romantic.
 
Ungeweka limitation kwa waliooa tu. Mume serious kwenye ndoa kwani kaambiwa uwanja wa vita huo? Ushauri kwa wanaume wenzangu hasa mliooa muwe wakarimu na wacheshi kwa wake zenu, kama mnashindwa shauri yenu mtachapiwa kwa sababu za kizembe kama hizo.

Sio mwanaume unarudi nyumbani kama una watoto hadi wanakukimbia mana Hitler umerudi, sio vema mke akikuona anatamani bora ungeendelea kuwa kazini kisa hucheki ukiwa nyumbani, na wengi wanadhani eti wakicheka watawafanya wake zao kuwadharau... hii ni fikara hasi sana.

TUBADILIKE HASA MLIOOA. Dada pole inaonesha yamekusibu hadi umeamua kuyasema. Jaribu kujua nini anapenda mkiwa mnapiga stori na kama kumtania umtanie kwenye vitu vya kadamnasi hiyohiyo... taratibu mdogomdogo polepole ndio mwendo mwisho wa siku kitaeleweka tu.
 
kuanzia u gf,uchumba mpaka miaka mitatu ya ndoa hujui umfanyie nini mume wako?!! subiri wanandoa waje!
 
Pole sana, inaonekana unatamani ndoa yako iwe design fulani na furaha lakini mambo sio.

Jaribu kuanza kutoka nae na ukiwa huko mwambie leo tunacheza kidalipo, au rede au kibaba na kimamama. Mind yake itaanza kufunguka na kuanza kuona bashasha.

Ukirudi home nunua hata karata, cheza nae mkiwa na watoto au mdada wa kazi. Mtajenga mahusiano mazuri sana kati yako na kila mtu aliyekwenye familia yako. Pia itawasaidia watoto kumzoea baba na yeye kuwa karibu nao zaidi.
 
miaka 3 ya ndoa??? hapa unakuwa umechelewa inabidi mtu umzoeze huo
utundu/vichekesho etc mkiwa wachumba
kwa sasa atakushangaa mpaka atahisi kuna jambo.
anyway jaribu kuondoa aibu fanya kila unachozan ni kizur

mara aingiapo ndan mabusu ya kutosha,
akikaa sebren kama hakuna watu mkalie yaan akupakate,
unaweza anza kumvua koti etc mbembeleze aende kuoga,
mwandae akiingia kuoga nenda kamwandalie vitu vinavyomkumbusha kijijin
unaweza mchoma viazi vitam etc siku iyo unawasha jiko la mkaa unaandaa
bado akiwa job,

hakikisha unatenga mezan kabla hajatoka bafuni,
wahi chukua towel msubiri mlangoni ahaaaaaaaa jiongeze,
unaweza badili sauti kwa mda,
msaidie kumvalisha kama hamta.... then hakikisha maneno yako kila wakati

ni,
pole na kazi baba, how waz work? bla bla kibao, hata kama limeimba kama
tumbua.
basi mwombe aende mezan then si mbaya mkilishana
endelea kujichekesha kama umekula samuli mbichi, si mbaya ahaaaaaaaa
nakuona,

jaman zaman nilipendaga ahaaaaa enzi izo bibi ananifundisha
kuchoma viazi na nyama jaman, nilipokuwa mkubwa, naanda, nafunga kwenye bahasha vinapelekwa na mtu ofisin,ahaaaaaaaaaa
dah siku hiz nilivo gume gume! Ahaaaaaaaaaa
mdude gan nimfanyie! ahaaaaaa zilipendwa jaribu haya tuone.
 
Unambinu haswaaa, unazijua fitna wewe. Hapo mimi ungekua umemaliza kazi
 
Ahsante kwa response nzuri.

Yeah,hapa elimu sahihi na uelewa wa kutosha ndio silaha kubwa kupindukia kabla ya hela. Upotofu unaleta hofu, kutojiamini na mwishowe kusababisha watu kuwa na maamuzi ya mwisho na yasiyo na mabadiliko hata pale panapohitaji mawazo mapya. Pole kwa kukumbana na vipingamizi ktk kuunda jamii yenye dira sahihi.

Na ndio maana wenzetu wana vyama ambavyo ni conservative, democratic, liberal etc ambavyo vinapambana kuleta mabadiliko, kuzuia mabadiliko yasiyo na msingi etc.Katik vuta nikuvute huku ndipo panapofikiwa muafaka ambao unaweza kuwa optimum. Yaani panakuwepo na constant process ya kufikia equilibrium. Sasa kwa bongo hapa tunachagua moja na kubaki huko matokeo yake hakuna cha kuturudisha ktk dira na yeyote atakayejaribu hilo anahukumiwa kuwa mpotoshaji.

Kuhusu kutumia traditional products km ngombe wa kienyeji na si wa hawa wa kisayansi(hata wazungu nao wana wao wa kiasili japo wanapungua) hiyo nayo ni ishue. Tatizo la wabongo hatupendi alternatives "Na ndio maana naamini kabisa km mbongo ndiye angegundua pikipiki baada ya kugundua baiskeli basi basikeli zingepotea na maendeleo yake yasingefika hapa yalipo leo". Na ndio maana tunakimbilia kutaka jenga majengo yote ya sehemu za starehe kwa kutumia malighafi za bei mbaya, huku anakuaj mzungu anajenga mabanda ya makuti na kuchuma hela kibao na kuishia zake.Tatizo hapa si nini (what), ila ni how (yaani aje). Sasa sisi huwa tunaishia ktk nini (what?) na kushindwa angalia how?

TEF wanachoweza fanya ni kuanzia wazo pale halipo na kulihimiza.

kama tuko wote mkuu! nimewaza sana engo hiyo!

kwani ndo kipind cha kusomana hicho!
 
miaka 3 ya ndoa??? hapa unakuwa umechelewa inabidi mtu umzoeze huo
utundu/vichekesho etc mkiwa wachumba
kwa sasa atakushangaa mpaka atahisi kuna jambo.
anyway jaribu kuondoa aibu fanya kila unachozan ni kizur

mara aingiapo ndan mabusu ya kutosha,
akikaa sebren kama hakuna watu mkalie yaan akupakate,
unaweza anza kumvua koti etc mbembeleze aende kuoga,
mwandae akiingia kuoga nenda kamwandalie vitu vinavyomkumbusha kijijin
unaweza mchoma viazi vitam etc siku iyo unawasha jiko la mkaa unaandaa
bado akiwa job,
hakikisha unatenga mezan kabla hajatoka bafuni,
wahi chukua towel msubiri mlangoni ahaaaaaaaa jiongeze,
unaweza badili sauti kwa mda,
msaidie kumvalisha kama hamta.... then hakikisha maneno yako kila wakati

ni,
pole na kazi baba, how waz work? bla bla kibao, hata kama limeimba kama
tumbua.
basi mwombe aende mezan then si mbaya mkilishana
endelea kujichekesha kama umekula samuli mbichi, si mbaya ahaaaaaaaa
nakuona,

jaman zaman nilipendaga ahaaaaa enzi izo bibi ananifundisha
kuchoma viazi na nyama jaman, nilipokuwa mkubwa, naanda, nafunga kwenye bahasha vinapelekwa na mtu ofisin,ahaaaaaaaaaa
dah siku hiz nilivo gume gume! Ahaaaaaaaaaa
mdude gan nimfanyie! ahaaaaaa zilipendwa jaribu haya tuone.

hapo hata sikohoi.........wanaume wengi km sio wote tupo dhaifu sana ukijua kupetipeti vizuri......sema hamtak tu kujiongeza!!
 
Da ila ukimpata yule anayependa matani, kuchezacheza, kusumbua sumbua ni raha sana sio umpate mtu bandidu eti, utambadilisha we ni kazi.
 
miaka 3 ya ndoa??? hapa unakuwa umechelewa inabidi mtu umzoeze huo
utundu/vichekesho etc mkiwa wachumba
kwa sasa atakushangaa mpaka atahisi kuna jambo.
anyway jaribu kuondoa aibu fanya kila unachozan ni kizur

mara aingiapo ndan mabusu ya kutosha,
akikaa sebren kama hakuna watu mkalie yaan akupakate,
unaweza anza kumvua koti etc mbembeleze aende kuoga,
mwandae akiingia kuoga nenda kamwandalie vitu vinavyomkumbusha kijijin
unaweza mchoma viazi vitam etc siku iyo unawasha jiko la mkaa unaandaa
bado akiwa job,
hakikisha unatenga mezan kabla hajatoka bafuni,
wahi chukua towel msubiri mlangoni ahaaaaaaaa jiongeze,
unaweza badili sauti kwa mda,
msaidie kumvalisha kama hamta.... then hakikisha maneno yako kila wakati

ni,
pole na kazi baba, how waz work? bla bla kibao, hata kama limeimba kama
tumbua.
basi mwombe aende mezan then si mbaya mkilishana
endelea kujichekesha kama umekula samuli mbichi, si mbaya ahaaaaaaaa
nakuona,

jaman zaman nilipendaga ahaaaaa enzi izo bibi ananifundisha
kuchoma viazi na nyama jaman, nilipokuwa mkubwa, naanda, nafunga kwenye bahasha vinapelekwa na mtu ofisin,ahaaaaaaaaaa
dah siku hiz nilivo gume gume! Ahaaaaaaaaaa
mdude gan nimfanyie! ahaaaaaa zilipendwa jaribu haya tuone.

duuuh! nimepata kitu!
sema wengi kwenye ndoa tunapenda sana maisha ya ubaba na mama!

tunaacha maisha ya urafiki!
ubaba na mama sometimes unatakiwa ukae pemben bhana aaahaaa!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom