Wasichana wa Tanzania wanawapenda wanaume wa Kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasichana wa Tanzania wanawapenda wanaume wa Kenya

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzee Majuto, Apr 16, 2012.

 1. M

  Mzee Majuto Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wasichana wa Tanzania wanapenda sana wanaume wa Kenya, wana JF ni sababu zipi zinawafanya wapende wakenya?
   
 2. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Sio kwamba wanaume wa Kenya wanapenda waTZ..?

  Binafsi sijui ila nakupa the other side of the coin, uangalia na hapo pia.., ila wakija wenyewe huenda ukapata ukweli
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  mimi najua its the opposite....
  wasichana wa kenya wanapenda wanaume wa tz...
   
 4. A

  Ashangedere Senior Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umekosea sana,, wanaume wa kikenya ndio wanawazimikia wanawake wa kibongo!
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Labda wakenya wana hela sana!
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Duh, ndo nasikia hii leo.

  Tanzania ya wapi hiyo? Au mie niko Gabon?
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mhh nani kakudanganya?
  IPO IVI;WANAUME WA KIKENYA WANAPENDA WASICHANA WA TZ cz hawapo ki imla imla km wanawake zao wa kenya walivyo reffer to lucy kibak u wl gt wat i mean...

  mijianaume ya kikenya haipo sex ipo km mijanjawili we ichek tu utagundua sjui nini pbm lakin naisi mfumo wa maisha na makuz yao umewakuza wanaume na wanawake wa kenya wawe juu juu kwa sekta zoote...ile art of GENTLEMAN hawanaga hawa jamaa...utasikia tu..wee mimi naitwa kimathi nakutaka unasemaje?....wewe miss igogo i wanna take u 2b mother of ma kids unaisomaje iyo?.......wewe bwana panda kwa gari funga mshipi(mkanda) twende tukarukiane....  afu kwa wadau wenyewe wanalalamika wakenya HAWAONGI...BAHIRI HATARI...et unajifanya dia naumwa atakujibu ahh kwan mimi dokta sasa..ebu wai kwa hospitooo....apo ata sh kumi hakupi.....dia nimepungukiwa laki 1..ah utaskia wu told u iam bank teller?au atakwambia ahh sina bajet iyo we subiri for 6moth i wl gve u but utanilipa kwa riba sawa bibi angu?


  ahh wakenya HAKUNAGA KITU.....hawana la usiku wala la mchana.....


  NB;M NOT READY FOR BATTLE
  PEACE:A S kiss:
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Wanaume wa Kenya huwazimikia wadada wa Tz moja ya sababu ni Uzuri
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Na wanawake wa kikenya wanawakimbilia kaka zetu wa tz wanadai et wanaume wa tz wanacare,sio mabahiri,wanalea vzuri watoto meanwhile wanaume wao wanahaha kupata mabibi wa tz coz wanajua kulea nyumba.

  Wala hawawapangii zamu ya kudeki ,kufua,hawadai haki ya kukaa bar mpk saa 7(km wewe una kaa bar mpk saa 7 why not me?mwanamke wa kikenya uyo anagombana na mmewe)wanajua kuishi ki community sio kiliberal km wao walivyo.

  Nina mifano kibao ya wakenya wanakwambia km nisipopata bibi wa kuoa tz basi sioi tena ..ukiwaambia kwa kenya akuna ?wanasema ahh siwez kwenda oa mwanamme mwenzangu..
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  na tabia pia
   
 11. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mhh wana ela wapi makapuku tu wale..wapo wapo tu sifa nyingi hawana lolote.....ODM OYEE!!!!!!!!!!!

  NAMPENDA ODINGA lakin..kisiasa zaidi lakin manake ana fix za nje nje
   
 12. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  :nono::nono: not me :nono::nono:
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Ushawahi kua nao? Naona unawajua vizuri sana!!
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ehh mnafanya research nini mbona mada izi za kenyan na watz zmejaa sana leo?


  wakenya ndo wanajikomba kwa watz cz WANA KILA KITU BNADAMU ANAITAJI
  WAKENYA WAMEKAA KUGECHANA TU..animals in ol spheres.....:heh:
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ahh wapppppppppppppppp..sjawai kukutana na jinamizi ilo...wa tz wote awa jaman tena wana kila kitu then nicross border nichekwe?
  NIFATE NINI KWA WAKENYA?....labda?...kwa mfano....?..ambacho wanaume wa tz hawana?

  ebu ntajie uzuri wa wanaume wa kikkenya....labda UNIZINDUE UFAHAMU..
   
 16. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Wanataka ardhi yetu......hakuna mapenzi wala nini.....wakishawaoa basi baba mkwe anagawa kihamba....simple
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Hawana mpya wakenya woteeeeeeee!!!
   
 18. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ahh mnachosha sasa...topic i ya ngap?
  mnajaza seva.
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  gudboy
   
 20. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 1,293
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  hili uko na mimi hakuna lolote lile wanalotaka zaidi ya mali na uraia wezi wakubwa hawa dada zetu angalieni kwa makini japo kwa kiasi fulani nawasifia hamjawababaikia kivileee wachache sana wamekuwa na mahusiano na wakenya wakazaa nao proud of yu hata machangu kwa hili hawafanyi
   
Loading...