Utambi Tambi ulivyonikosesha Utamu wa Mama mkwe

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Siyo mkwe wangu kwa maana ya kuoa mtoto wake,
ila ni Mkwe wangu kwa sababu nilishamtafuna mtoto wake wa kike bila yeye kujua, hivyo mi namwita mkwe kama kumtania juu ya watoto wake ila ukweli ni kwamba hajui kama kuna mwanae mmoja nilishamtafuna,

Ni siku moja hivi nipo kwenye harakati zangu pale kibandani akajipitisha kama kawaida yake na kuita "Mkwe unaendeleaje na kazi"
Bila iyana nikamjibu naendelea vizuri,
Kama utani nikamwita na kumwambia nina shida,
Akasogea huku anatabasamu na kicheko kwa mbaliii,
Nilichofanya nikamnongoneza tu "mkwe siyo siri unanimaliza sio poa, natamani unipe na mie nione vile wakubwa wanavyofaidi,
Akacheka kama utani akanipa mawasiliano yake huyo akasepa,

Kilichofata baadae tukaanza kuchati kiutani utani nikaomba Mzigo akanipanga siku,

Siku ilivyofika kila kitu kilikuwa sawa nilitafuta Chimbo zuri mapema sikutaka niingie nae gheto , kwa sababu mi mke wa mtu,

Ata the Time T, napigiwa simu kucheki ni yeye nikamuelekeza eneo huyo akatia mguu,
Mpaka lodge kwa kweli sikuamini, Mkwe alikuwa na Chura aswaa, katika harakati za kutaka kumchakata bhana, tumeshavua Nguo niko nampima Oil,
Mara pap mlango unagongwa kwa nguvu Zero nikajua yebaaa tayari nimefumaniwa,

Nikamsakazia mkwe aende kufungua mlango huku mimi nikitafuta njia mbadala ya kusepa
Kwenda kufungua mlango kumbe ni Muhudumu kaja kututonya kwamba kuna njemba zilikuwa zinamfatilia huyo mwanamke ziko hapo nje zinaleta zogo zinataka kuingia ndani mlinzi yupo getini anazozana nao,

Chap vaeni niwaonyeshe mlango mwingine msepe,
Zero nilikuwa natetemeka, Mwili ukachange ukawa wa baridi, Nikawa nawaza kipi kitatokea, Chap sikujua ata ule uwezo niliupata wapi nilijikuta tu tayari nimeshatupia(Vaa) nguo zangu mwilini kumcheki mkwe kitambo ameshavaa na kungangana atoke,

Akili ikanicheza nikitoka hapo kwa mlango wa ziada uwenda nao watakuwa wamezunguka wanatusubiri, nikamwambia muhudumu atoke na Mkwe mi anibadilishie Chumba kingine nilale humo,

Muhudumu akafanya chap yule mkwe akasepa,
Mi nikaingia Chimbo jingine wale washkaji walileta Zogo la maana mwisho wa siku wakaingia kwa lazima mpaka ndani mi ilinibidi nitoke nijichanganye na wateja wengine (kwa sababu wao hawakujua ni nani ambae anatoka na huyo mwanamke),

Wakakagua vyumba vyote chafu, mwisho wa siku wakatuomba msamaha kwa usumbufu hao wakasepa zao.


Tangu siku ile Sikuwaza tena kumtafuna huyo mkwe wangu na sasa kila Tukikutana hatuishiwi kuchekana kwa kilichotokea, vile tulivyokuwa tunavaa kwa kasi ya Umeme.


Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kumtia mwanamke aliyekuzidi umri na mwenye umbile kubwa ni balaa. Nililipata moja hilo na ilikuwa mara yangu ya kwanza, alinizidi miaka 10. Mboo ilipoingia nilisisimka sanaaa, sio kwa utamu bali ni hofu. Baada ya hapo ikawa ndio ule usemi usemao "Ganda la Mua la jana, chungu kaona kivuno" maana niliachana na mpenzi siku za karibuni na yeye alikuwa ndio chakula yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kumtia mwanamke aliyekuzidi umri na mwenye umbile kubwa ni balaa. Nililipata moja hilo na ilikuwa mara yangu ya kwanza, alinizidi miaka 10. Mboo ilipoingia nilisisimka sanaaa, sio kwa utamu bali ni hofu. Baada ya hapo ikawa ndio ule usemi usemao "Ganda la Mua la jana, chungu kaona kivuno" maana niliachana na mpenzi siku za karibuni na yeye alikuwa ndio chakula yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakuwaga watamu kinyamaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom