Mke wangu popote ulipo jitunze

Mke wangu popote ulipo jitunze

Smith Rowe

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
4,565
Reaction score
9,760
Niko napambana kujenga familia yangu ya baadae na wewe mke wangu nilindie tunda wasije mabaharia wakalila kimasihara

Baada ya miaka mitano naamini tutakuwa pamoja sijui hupo mkoa gani au nchi gani ila mwenzako liwe nimekukumbuka sana

Nakusihi na wewe pambana usije leta uslay queen kwenye ndoa nakupenda sana mama popote ulipo tunza heshima tuje kuwa na familia bora

Huyo uliyeponaye mda huu hamtafika popote ni vile hujui tuu anakuchezea tuu aseeee

I miss you my future wife

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan Ukimpata Mke naona usichunguze ya Nyuma cha Muhimu tumia utaratibu kumbadili aendane na Unavyotaka,

Mimi katika mahusiano jambo linalonitesa
Watu wangu hawaendani na kasi yangu katika utunzaji muda, au suala la kujali Muda kwenye appointment,

Pili watu wangu wengi nilokuwa nao nimetumia muda mwingi kuwarekebisha

Hivyo mambo ya sijui ajitunze usiyawaze we utavuka mto unapoufikia

Britannica
 
Back
Top Bottom