Mtoto kaleta matatizo

Mtoto kaleta matatizo

Changes boy

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
552
Reaction score
363
Kuna demu ananipenda ila anao wivu mpaka basi, akiwa na wivu hapokei simu. Najua ananipenda mpaka anachanganyikiwa tatizo mi bado najipanga kimaisha analazimisha mtoto wakati Mimi bado sipo poa. Nampenda sana tatizo la ugomvi ni hill tu. Sijui nimwambie nini naona nitamdanganya anahisi vibaya. Sijawai kuona wivu huo
 
A day in a life of a Tanzanian

Sasa sjaelewa nini unahitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
saundi zimeniisha haelewi anataka mtoto, naona malezi yatakua ya shida sitaki kutesa kiumbe cha damu yangu. Najua life nililopitia halafu bora zamani kuliko sasa sitaki kumtesa mtoto wa MTU hata kama ananipenda isiwekigezo cha kumchokesha mtoto wa watu
 
Haya ulionielezea kamuelezee

Huo ni mtego wanaume wengi wamenasa na kujikuta wanaingia katika changamoto za mahusiano ya kulea watoto wa nje ya ndoa na wakati wanafamilia zao.

Usipate mtoto kabla ya ndoa na kabla haujawa na maisha ya kueleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
saundi zimeniisha haelewi anataka mtoto, naona malezi yatakua ya shida sitaki kutesa kiumbe cha damu yangu. Najua life nililopitia halafu bora zamani kuliko sasa sitaki kumtesa mtoto wa MTU hata kama ananipenda isiwekigezo cha kumchokesha mtoto wa watu
Una demu mshamba sana.. Hajielewi kabisa, mwache anune km anataka mtoto kwa lazima na haraka mwambie akapewe mimba na mwingine.

Mwambie afanye kazi awe busy na kazi Aache ujinga.
 
Back
Top Bottom