Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,882
Kama mwanamke ameolewa nyumba ipo mwanaume kajenga lakini kitanda alichokuwa anatumia mwanamke ni kizuri kuliko cha mwanaume, ni sawa watoe cha mwanaume waweke alichokuja nacho mwanamke? Au mnashauri vipi wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app