kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,059
- 3,656
wakuu salam,nimesafiri na mshkaj wangu tukitokea musoma lakini huyu mshikaj amestaajab jinsi wanaume wa huku wanavoongea kiswahili kila muda anadindisha akidai wanaume wa dar wanaongea kwa kulegeza sauti na kulemba maneno na kuchonga maneno ambapo hivo amezoea tu kuona mambo yakitokea
chumban ,ye n mwanachama wa 071
MULA MULA
Sent using Jamii Forums mobile app
chumban ,ye n mwanachama wa 071
MULA MULA
Sent using Jamii Forums mobile app