MAISHA YAKE.
Unyenyekevu ilikuwa kitu cha ziada kwake. alikuwa maarufu kuliko yeye mwenyewe alivyokuwa. siku ya mazishi yake hakuna gazeti lililoripoti vya kutosha, hakuna redio iliyotangaza ilivyostahili! hakuwa maarufu kama kanumba! hakuwa superstaa kama juma nature! lakini watu zaidi ya 20,000 walihudhuria ibada yake ya mazishi. Sheikh Amri Abeid haukutosha! kweli umetuacha ukiwa.
NYIMBO ZAKE
Makanisa mapya yananeemeka sana na CD yake. ni rahisi tu, mnaanza ibada ya kuabudu mnaweka cd yake inaimba roho anashuka.
kumbukumbu yake
tulitamani kuifanya kila mwaka ila shemeji ametukata moto sana!!!!