Mnawazaga nini? Au ni nini mnaoffer zaidi ya dudu?Hawana kingine cha ku-offer ..... Akili zao huwa zina waambia kwamba wanaume huwa Tunawaza ngono. Wakati wote ... Kumbe sio kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha acha masihara ..... Unauliza sisi huwa tuna wa-offer nini tena ...wakati asilimia kubwa ya wanawake wengi ni tegemezi na sisi ndio life support wenu
Tegemezi kivipi wakati pesa hamna? Na kama mnazo hamtoi? Mi hata sijaona la maana mlilo nalo.Hahaha acha masihara ..... Unauliza sisi huwa tuna wa-offer nini tena ...wakati asilimia kubwa ya wanawake wengi ni tegemezi na sisi ndio life support wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tegemezi kivipi wakati pesa hamna? Na kama mnazo hamtoi? Mi hata sijaona la maana mlilo nalo.
Na kukutegemea wewe mume ni haki yangu, na Mimi mke ninayo majukumu ya kufanya pamoja na kulea watoto. Au mlitaka tuwafanyie nini cha zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhudumia vipi??Kwani nyie mna nini zaidi ya dudu? Mahusiano ya kimapenzi kikubwa ni kei na dushe bas, mengine mbwembwe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ni wajibu wenu? Au mnataka na nyie muhudumiwe? Mi kama sijaelewa vile..nini mnataka tuwape?Kuhudumia vipi??
Asilimia kubwa ya wanawake ni dependent kwa wapenzi wao..
Kwani nyie mna nini zaidi ya dudu? Mahusiano ya kimapenzi kikubwa ni kei na dushe bas, mengine mbwembwe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli. Sasa mmechoka kufanya yote hayo mnataka tuwafanyie?Zaidi ya dudu, sisi tunawapa pesa nyingi, vi-outing na lunch za bure , pamoja na sehemu ya kuishi, pale unapotoka kwa wazazi wako baada ya kuolewa Demi
Sasa ukisema kuwa sisi tunaoffer dudu tu huoni unakosea??..kutimiza wajibu kwa ku-take care baadhi ya expenses zenu ni kitu kingine tunacho-offerSi ni wajibu wenu? Au mnataka na nyie muhudumiwe? Mi kama sijaelewa vile..nini mnataka tuwape?
Sent using Jamii Forums mobile app
We napinga na nakemea vikali juu ya hili! Sisi tunayo mengi ya kuwapa Kuna dudu,hela,ulinzi bila kusahau na mimba.Kwani nyie mna nini zaidi ya dudu? Mahusiano ya kimapenzi kikubwa ni kei na dushe bas, mengine mbwembwe tu
Sent using Jamii Forums mobile app