Nimemfumania mke wangu akiwa na mwanaume guest, njia ipi itakuwa sahihi kutoa talaka kwa haraka?

BSF fly

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
344
126
Last week nilipost tittle iliyo kuwa ina sema. Mke wangu ananifanyia vituko ili tuachane

Hii ilitokana na kumfuma na sms za kimapenzi na wanaume wa 2 tofauti.
Ukweli nilishindwa pata muafaka nae,nikaita watu wazima tena wanao tujua toka uchumba,nina ndoa nae ya miaka 8 sasa.

Nilitoa yangu ya moyoni kwa niliyo shuhudia,zamu yake ya kuongea nae alitoa yake ya moyoni.

Hakuniomba radhi kwa hayo,mimi ndio nilimuomba radhi na kulazimisha yaishe,kufika nyumbani , akanijibu wembe ni ule ule,nijue 50 zangu.

Akaendelea kuniblock kwenye simu,hataki kusikia chochote.
Mungu si athumani,jana tarehe 1.9,kwa kutumia utundu ule ule wa it,nilinasa picha akiwa na yuleyule mgoni wangu niliye kuta sms,nikaona paa la bar.

Kwa kuwa huyo mgoni nalijua gari lake,nilianza kazi ya kulisaka kila guest nikiamini atakuwa ndo analitumia.

Toka nilipo pata picha mida ya saa 8 , nimekuja kulipata hilo gari saa 2 guest moja imejificha sana.

Nika ita jina la huyo mgoni kwenye korido,akaitika,nikajua chumba walichopo,nikawasihi wafungue wakagoma.Sikua na uhakika kana ni kweli mke wangu yupo hapo au la.Watu wakajaa kunisihi niondoke,nikagoma.

Baadae nikajiwa na wazo nirukie kweye vent yalango nichungulie,nilipo muona mke wangu anahangaika na hajui la kufanya,nikashuka chini na kuingia mazima na mlango,nikampiga sana ngumi za uso,yule mgoni akaacha hadi gari akakimbia.

Mke nae akaokolewa na kukimbia ...
So niko kwa bro wangu mmoja.

Nahitaji msaada kwa wenye uzoefu,namuachaje huyu mke.ndoa yetu ni ya ki rc,japo mm si mu rc.
Ushauri pliz ...
 
Last week nilipost tittle iliyo kuwa ina sema. MKE WANGU ANANIFANYIA VITUKO ILI TUACHANE.
Hii ilitokana na kumfuma na sms za kimapenzi na wanaume wa 2 tofauti.
Ukweli nilishindwa pata muafaka nae,nikaita watu wazima tena wanao tujua toka uchumba,nina ndoa nae ya miaka 8 sasa.
Nilitoa yangu ya moyoni kwa niliyo shuhudia,zamu yake ya kuongea nae alitoa yake ya moyoni.
Hakuniomba radhi kwa hayo,mimi ndio nilimuomba radhi na kulazimisha yaishe,kufika nyumbani , akanijibu wembe ni ule ule,nijue 50 zangu.
Akaendelea kuniblock kwenye simu,hataki kusikia chochote.
Mungu si athumani,jana tarehe 1.9,kwa kutumia utundu ule ule wa it,nilinasa picha akiwa na yuleyule mgoni wangu niliye kuta sms,nikaona paa la bar.
Kwa kuwa huyo mgoni nalijua gari lake,nilianza kazi ya kulisaka kila guest nikiamini atakuwa ndo analitumia.
Toka nilipo pata picha mida ya saa 8 , nimekuja kulipata hilo gari saa 2 guest moja imejificha sana.
Nika ita jina la huyo mgoni kwenye korido,akaitika,nikajua chumba walichopo,nikawasihi wafungue wakagoma.Sikua na uhakika kana ni kweli mke wangu yupo hapo au la.Watu wakajaa kunisihi niondoke,nikagoma.Baadae nikajiwa na wazo nirukie kweye vent yalango nichungulie,nilipo muona mke wangu anahangaika na hajui la kufanya,nikashuka chini na kuingia mazima na mlango,nikampiga sana ngumi za uso,yule mgoni akaacha hadi gari akakimbia.
Mke nae akaokolewa na kukimbia ...
So niko kwa bro wangu mmoja.
Nahitaji msaada kwa wenye uzoefu,namuachaje huyu mke.ndoa yetu ni ya ki rc,japo mm si mu rc.
Ushauri pliz ...

Hutaki kumwacha... Usizuge
 
We unakuja omba ushauri huzingatii last week si umeshauriwa hapa hujazingatia hata leo ukishauriwa hutozingatia.
Huyo hakupendi unasubiri akuwekee sumu ufe?
Uko sahihi kabisa,na stahili matusi ya aina zote.
Ila kwa hili la kumkuta live guest,halina mjadala.
ibaki stori,watoto watakuja mtafuta Baba yao...
 
Na cha zaidi atarudi kumuomba msamaha mkewe
Kweli mme ni under value sana kwa hili wanaume wenzangu...
Any way ndo challenge za jf,nawasikiliza.
Ila my last point,no maneno mengi.Its over nacho hitaji wenye uzoefu,talaka na process vipi,sisi wakristo nahisi ina mlolongo kidogo...
 
Kweli kwa last week nilikuwa nawaza sana watoto ,ila kwa niliyo shuhudia live guest leo,watoto watakuja kumtafuta Baba yao...

!
!
kaka nenda home ukimkuta mpe kibano heavy kile cha mbwa mwizi...hakikisha kavimba haswa yaani kaumia mwilini karibu au sawa tu na ulivyoumia wewe roho. Piga kweli kweli mkuu hakikisha yeye ndio anaomba talaka. Tahadhari usipige kuua piga kama magereza aumie tu asife. Na kama yameshapoa huwezi kulianzisha nikupe mbinu, nenda kaa nae muangalieeee kama robo saa hivi kisha jilize kidogo halafu anza kuuliza "hivi kwa nini" kama mara tatu hivi halafu sema "hataaa haiwezekani" kisha muanzishie timbwili huku ukiwa umefunga milango.
 
Namjua ni mbishi,jana yenyewe kaning'ata mkono,akileta ubidhi wa kurudishia ujue nauwa,maana chochote takitua kichani kwake...
 
Mkuu kisicho riziki hakiliki mimi nafahamu kwanini umemvumilia mwanamke wako mlioishi kwa muda wa miaka 8 kwanza ni watoto wenu pili ni mali ulizochuma nae kwa mujibu wa JMT ni mara nyingi mke au mume akimchoka mwenzie humfanyia vituko na mambo ya kukela na yasiyopendeza katika jamii na mkigawana mali mkuu umesharudi nyuma lakini ni heri ubaki na pengo kuliko jino bovu.
 
Kaka nimeshauri tangu ule uziwako uliopita kama ulifungia ndoa rc nenda kaanzie huko kwnza then uende mahakamani ukaitengue ndoa cz dini ya kikristo haina mamlaka ya kutengua ndoa ila mahakama ndo inatengua ndoa,anyway kwa hicho kilichotokea kingenikuta mm muda huu ningekuwa na kesi ya kuua au kujeruhi
 
Uko sahihi kabisa,na stahili matusi ya aina zote.
Ila kwa hili la kumkuta live guest,halina mjadala.
ibaki stori,watoto watakuja mtafuta Baba yao...
Mkuu hivi wataka akuonyeshe nini ndo ujue kuwa hakutaki.
Amekufanyia yote akiona humwachi atakuua.
 
Back
Top Bottom