• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Kama wewe ni player usifanye hili kosa

Mrs Bishanga

Mrs Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Messages
693
Points
1,000
Mrs Bishanga

Mrs Bishanga

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2013
693 1,000
Asee wanajamvi Nadhani kila mmoja wetu yupo sawa anapambana na hali yake.

Kijana ambaye bado unahangaika kachungulia na kushindana na sehemu ulipotokea usifanye kosa la kula tunda bila ndom a.k.a usalama barabarani. Utakuja kunasa kwenye kitanzi ambacho hutapata hata pumzi na mwisho unaweza kupoteza dira. Sawa mnajiona wajanja kwamba ukishamchungulia mwanamke imekula kwake unasonga mbele na mwingine anayefwatia kwenye roster Ila wapo wanawake ambao sio wa kuchezea na wakiamua kuku vuruga utavurugwa kweli.

Kaka yangu ambaye kila siku tumekuwa tukimuasa Aachane na tabia za ukware akawa anaona sifa ya kuchakata nyuchi za wanawake bila Idadi maalumu amejikuta akivurugwa na kujutia maisha yake yote baada ya moja ya aliowapitia kunasa mimba na bila kujali mwanamke akaamua kulea. Basi Huku na Huku kaka yetu akaanza kutoa matumizi Kama vile Hataki na kuleta mikwara kibao.

Mwanamke alipojua fika kwamba mwanaume ni kiwembe na hakuna dalili ya ndoa Bi dada akamkalisha kikao cha A mpaka Z kwamba Kama anajipenda achukue Hatamu kupeleka kila hitaji atakaloambiwa la sivyo atajuta kuzaliwa. Mdada Ana elimu ya kutosha na ukoo anaotokea huwa kupoteza mtu kwenye ramani ni dakika sifuri.

Basi kaka akawa Hana jinsi anatolewa upepo wa hela Kama Hana akili timamu halafu bi dada anatumia hela kustarehe.

Anaweza kuwa amekaa akaambiwa mama kijacho amelazwa akiuliza ugonjwa hata haueleweki, Mara hiki Mara kile na zote hizo ni hela za maana zinamtoka wakati kipato chake cha kawaida kinaweza kisizidi milion moja kwa mwezi bado majukumu ya kulea wazazi wake.

Kifupi amechooka na hekaheka na hata hamu ya huyo mtoto imemuishia...anajuta kutokuwa mpenzi wa zana kwa kutaka utamu.

Sasa kabla hayajakukuta ukatamani dunia ikufunike jipange.
 
nosspass

nosspass

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Messages
4,631
Points
2,000
nosspass

nosspass

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2013
4,631 2,000
sasa hilo ni bora....akilipigania kisheria linakaa sawa.....angeukwaa UMEME......na je ameacha......vijana wengi mitaani ni waathirka......tembelea vituo vya kuchukua ARV.... wa mbagala anachukulia mabwepande.....wa kigamboni anachukulia chanika.......wengine hata familia zao hazijui....na wanausambaza hatari....watoto wetu jamani....duh.....
 
fizo talent

fizo talent

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Messages
1,532
Points
2,000
fizo talent

fizo talent

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2017
1,532 2,000
Ushauri wa bure...km unajua huna malengo nae na huna uhitaji wa kulea mtoto bora umkomalie aitoe mapema kabla hamjafika mbali
 
Mrs Bishanga

Mrs Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Messages
693
Points
1,000
Mrs Bishanga

Mrs Bishanga

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2013
693 1,000
sasa hilo ni bora....akilipigania kisheria linakaa sawa.....angeukwaa UMEME......na je ameacha......vijana wengi mitaani ni waathirka......tembelea vituo vya kuchukua ARV.... wa mbagala anachukulia mabwepande.....wa kigamboni anachukulia chanika.......wengine hata familia zao hazijui....na wanausambaza hatari....watoto wetu jamani....duh.....
Sheria gani itakayomfanya asilee mimba? Daktari akihongwa akithibitisha kwamba kweli ni dada anaumwa hivyo jamaa agharamie either matibabu ya kila week au bedrest unadhani atapinga??
 
nosspass

nosspass

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Messages
4,631
Points
2,000
nosspass

nosspass

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2013
4,631 2,000
Sheria gani itakayomfanya asilee mimba? Daktari akihongwa akithibitisha kwamba kweli ni dada anaumwa hivyo jamaa agharamie either matibabu ya kila week au bedrest unadhani atapinga??
labda sikukuelewa.....anahudumia mimba au mtoto??.....mimba ni yake kweli?....kama mtoto kuna umri ukifika kisheria anaweza kumuomba ili kuepuka usumbufu aupatao kwa mzazi mwenzie...
 
Mrs Bishanga

Mrs Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Messages
693
Points
1,000
Mrs Bishanga

Mrs Bishanga

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2013
693 1,000
labda sikukuelewa.....anahudumia mimba au mtoto??.....mimba ni yake kweli?....kama mtoto kuna umri ukifika kisheria anaweza kumuomba ili kuepuka usumbufu aupatao kwa mzazi mwenzie...
Anahudumia mimba. Mtoto si anaanzia kwenye mimba? Niliuliza nikiwa na lengo la kujua ni umri gani baba anaweza kumchukua mtoto?
 
Daby

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Messages
31,920
Points
2,000
Daby

Daby

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2014
31,920 2,000
Mapenzi yana formula basi...tuendeelee kudanganyana wakuu siku zenyewe zipo wapi.

Unaweza kuishi na mkeo kumbe anampenda jirani na kila siku unaambiwa I love you babe.
 
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Messages
9,676
Points
2,000
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2018
9,676 2,000
Asee wanajamvi Nadhani kila mmoja wetu yupo sawa anapambana na hali yake.

Kijana ambaye bado unahangaika kachungulia na kushindana na sehemu ulipotokea usifanye kosa la kula tunda bila ndom a.k.a usalama barabarani. Utakuja kunasa kwenye kitanzi ambacho hutapata hata pumzi na mwisho unaweza kupoteza dira. Sawa mnajiona wajanja kwamba ukishamchungulia mwanamke imekula kwake unasonga mbele na mwingine anayefwatia kwenye roster Ila wapo wanawake ambao sio wa kuchezea na wakiamua kuku vuruga utavurugwa kweli.

Kaka yangu ambaye kila siku tumekuwa tukimuasa Aachane na tabia za ukware akawa anaona sifa ya kuchakata nyuchi za wanawake bila Idadi maalumu amejikuta akivurugwa na kujutia maisha yake yote baada ya moja ya aliowapitia kunasa mimba na bila kujali mwanamke akaamua kulea. Basi Huku na Huku kaka yetu akaanza kutoa matumizi Kama vile Hataki na kuleta mikwara kibao. Mwanamke alipojua fika kwamba mwanaume ni kiwembe na hakuna dalili ya ndoa Bi dada akamkalisha kikao cha A mpaka Z kwamba Kama anajipenda achukue Hatamu kupeleka kila hitaji atakaloambiwa la sivyo atajuta kuzaliwa. Mdada Ana elimu ya kutosha na ukoo anaotokea huwa kupoteza mtu kwenye ramani ni dakika sifuri. Basi kaka akawa Hana jinsi anatolewa upepo wa hela Kama Hana akili timamu halafu bi dada anatumia hela kustarehe. Anaweza kuwa amekaa akaambiwa mama kijacho amelazwa akiuliza ugonjwa hata haueleweki, Mara hiki Mara kile na zote hizo ni hela za maana zinamtoka wakati kipato chake cha kawaida kinaweza kisizidi milion moja kwa mwezi bado majukumu ya kulea wazazi wake.

Kifupi amechooka na hekaheka na hata hamu ya huyo mtoto imemuishia...anajuta kutokuwa mpenzi wa zana kwa kutaka utamu.

Sasa kabla hayajakukuta ukatamani dunia ikufunike jipange.
mshahara wa dhambi ni mauti na hapo bado.
 
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Messages
8,477
Points
2,000
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2008
8,477 2,000
Hizi mambo za body-to-body kumbe bado zipo? Sisi wahenga enzi hizo ukimuweka mtu kwenye 18, walikuwa wanasema "kinga unayo?, nipo kwenye siku za hatari". Yaani Mimba ilikuwa inaogopwa kuliko ngoma.
 
Forum statistics

Threads 1,403,915
Members 531,434
Posts 34,439,007
Top