Tatizo la kutokwa na damu kidogo sana kipindi cha hedhi ambayo pia ipo kama uchafu fulani hivi na ni kwa siku 1 au 2 inakuaje hapo

Elezea na dalili ya maumivu ya tumbo kama ipo??
Nikwa siku ngapi?
 
Hiyo itakua PID awahi hospital akichelewa yatamkuta kama yangu. Ni gonjwa sumbufu ukichelewa kuitibu ni shughuli.
 
Back
Top Bottom