Mapenzi ya uongo?

Mapenzi ya uongo?

Bin Shaib

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,434
Reaction score
1,363
Jumapili njema wakuu tumshukuru Mungu kwa kutuwezesha tena kuiona siku njema machoni pa Mungu. Mungu ni mwema wakati wote

Mada kuu:

Mimi nina mpenzi wangu wa kike nimekuwa naye kimahusiano kwa muda mrefu toka mwaka 2018 mpaka sasa lakini sijawahi kufanya naye mapenzi.

Nimejaribu kumshawishi mara kadhaa lakini amekuwa haeleweki muda mwingine anakwambia muda bado hajaupata na akisha upata ataniambia, mimi nabaki najiuliza siku huo muda akiupata mimi nitajuaje? Au ataniambia?

Kuna baadhi ya vitu vyangu kashatumia na baadhi ya zawadi nimeshampa lakini yeye kutoa ananibania na mpaka sasa sijajua tatizo nini, lakini huwa ananipa muda wake tuna piga story kama kawaida.

Kuna siku alisema wanaume wana kasumba ya kutaka wakuchezee halafu wanakuacha; sasa hii point ipo kichwani mwangu au anahisi atakapo nitunukia papuchi nitamtema?

Alinithibitishia kuwa ananipenda hata tukiwa tunatembea ananishika sehemu za mwili wangu hata kukumbatiana huku tukiwa tunatembea, lakini bado ana wasiwasi kuwa mimi yaweza kuwa nina mtu mwingine sababu wanaume hatuaminiki wakati mi mwenyewe nipo kama nilivyo.

Kusudi:

Mpaka sasa sijajua huyu mpenzi ana maana gani mpaka sasa.

Je, yupo katka kunichunguza?

Au mimi ndo sina mbinu za kumshawishi?

Au ananipima kama nina mapenzi ya dhati kwake?

Bin Shaib Classic 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pembeni kuna mwamba anakula nyama bila hata kipingamizi, mIaka mitatu?

yess BiShoo haswaaAaa
 
Mkuu akikubali kumla utamlia wap!? maana ww si upo kwa anko wako!? Alafu huna kitu cha kuanza kujitegemea. Hahaaaa

My hoe is your crush. She is your girl but another niggas bitch. Ucseme cjakwambia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni bikra mpaka sasa yupo sahihi, ila kama sio basi kuna mshkaji anachukua point za kiungo mchezeshaji. Huku wewe ukibakia kiungo mtazamaji na muhudumiaji.
 
Aseme ana dada si mpenzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni mpenzi, sema jamaa anataka kukula asepe! Binti ana msimamo! Nimempenda bure
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni mpenzi, sema jamaa anataka kukula asepe! Binti ana msimamo! Nimempenda bure
Kiuanaume bila kuweka sahihi angalau mara moja huwezi mwita mpenzi huyo ni dada yake
 
Maada kuu..............

.....anakwambia muda bado hajaupata na akisha upata ataniambia, mimi nabaki najiuliza siku huo muda akiupata mimi ntajuaje? au ataniambia?

Ushaambiwa ‘atakwambia’ bado unatuuliza utajuaje?
Jibu kwanza swali la Suriya hapo juu kuhusu elimu yako.
 
Bin Shaib, Yeye mbona anachezea hela zako na zawadi zako na hajakuacha?

Na wewe mwambie akupe utafanya kama anachofny kweny mali zako,ukiona mgumu nipe namba zake niongee naye kistaarabu lazima ataelewa tu mzee baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni bikra yupo sahihi 100% ,, namuunga mkono,, ata mm nilioa bikra akiwa na degree na anamiaka 24.. So inawezekana anachokisema anamaanisha, zungumza nae kwa Hekima utamuelewa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom