Siku hizi wanawake wanaendesha magari ya maana

Siku hizi wanawake wanaendesha magari ya maana

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,202
Wana kazi za kawaida, kipato chini 700k kwa mwezi. Lakini wanasukuma Ndinga moja za maana aisee,

Ukiwakuta wamevaa miwani yao myeusi utafikiri wanafanya kazi Hazina ama BOT lakini kumbe sio. Unakuta mwanamke anasukuma Ndinga kali kuliko ata ndinga ya Boss wake aliyempita zaidi ya Nusu ya mshahara Wake,

Wanawake hizo hela mnazonunulia Ndinga kali siku hizi mnazitoa wapi aisee. Namba za magari zinazidi kusonga kwa kasi kwa sababu yenu hadi mnafanya yale maisha magumu kwa Serikari iyaone mepesi.

Kwa sababu kuna Raia wananunua Ndinga vibaya mno.


Cc Zero iq
 
Ladies have opportunity advantage over gentleman! Don't compare with ladies otherwise you will be chasing the ghost! By the way! Their lust for possessing luxurious things in order to keep them afloat are their vulnerability cage to easily fish them with 10,000/= of gasoline/service to get their pants loose! Don't be afraid with them Mr. ZeroIQ
 
Wamepewa muda wao ukiisha mwenye gari analichukua.
Unapewa gari kadi inasoma jina lako, kesho anaenda badili kadi unabaki na kopi ukijua jina lako kumbe original ishabadilika zamani. Siku ya siku unawekwa mtu kati na nyodo zote zinakuisha
 
Back
Top Bottom