Enzi zile

Iwensanto

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
1,173
1,092
Enzi zile mpenzi alikuwa anatafutwa lakini leo hii wanawake ndiyo wamekuwa wanawatafuta wanaume.

Enzi zile ilikuwa mtu anafika hadi miaka 20 hamjui mwanamke. Lakini leo vijana wa miaka 10 mpaka 15 tayari wana wapenzi wao.

Enzi zile ilikuwa ukitembea huwezi kuona mwanamke anaonesha nguo yake ya ndani (chupi) kutokana na nguo walizokuwa wanavaa lakini chupi ni nguo ya kawaida.

Enzi hizo shule tulikuwa tuanatembea na vipande kioo kwenye mstari unakidondosha chini ili uone chupi aliyovaa lakini leo ni balaa.

Enzi hizo mwanamke kama atavaa sketi gagulo likajitokeza (under sketi) mwanamke mwenzie atumuendea na kumueleza tena kwa sauti ya chini.

Lakini leo ni hatari nyumba zote za kulala wageni asilimia kubwa ya wasichana wanafanya kazi katika sehemu hizo biashara ya ngono.

Saloon zote za kiume akina dada wanaofanya kazi katika hizo saloon wanafanya biashara ya ngono Mungu tusaidie tuepukane na upepo huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeenda vizuri ulipofika hapa ukaharibu... Iwensanto,

Usisahau pia enzi zile kabla nguo hazijaja walikua wanavaa ngozi kufunika nyeti tuu. Kwahiyo acha kila enzi iende na matukio yake.

Bagwell
 
Enzi zilee mwanamume alioa akiwa na miaka 35 akapewa mwalimu wa kumuonyesha njia inapokaa ya kupata mtoto huku mke akiwa miaka 28 unamkuta bikra hamjui mume wala hajui ataenda fanyiwa nini huko chumbani
 
Back
Top Bottom