Ulishawahi muacha umpendae kwa sababu ya ndugu zake?

haszu

JF-Expert Member
Oct 10, 2017
837
1,550
Mhusika hanashida kabisa ila hawa ndugu zake km wanatabia ambazo sizielewi, kumuacha ntaumia ntamuumiza, kuendelea nae hadi mafungamano rasmi nahisi kma itakua na sintoekewana kwa sababu ya hao watu, ? Kuna aliewahi fanya maamuzi magumu,?
 
Mimi shangaz mtu alikuw ananidharau kisa sina kazi wala hela...!!yan aliniona kapuku flan hv..!!nahic alimjaza na mwanae maneno nikaona mchumba nae kaanZa dharau...nikaona icwe kesi....japo wadogo zake walinipenda maana nljitahdi saana kupeleka zawad japo sina hela...ikanibd nitafute pesa

Wiki 2 zilizopita tulionana...hakuamini...mpaka akashika na kiuno kabisaa...nkamsalimia peace....baada ya dakika 5 yule dem nae katuma meseji...nkajua tyr washaambiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliachwa na mume wangu kipenzi , mpk leo moyoni mwangu bado anaishi ....kwa ushauri tu wa rafiki zake na hila juu yangu ...baada ya kuona kanifungulia duka kubwa ...na akawa mtu wa ubusy mwingi bar hawampati wakamwaga maneno ....

Its so paini ni miaka miwili kwangu ila naona kama juzi

Pole!
 
Back
Top Bottom