"Fast Forgetting" (Kusahau haraka)

"Fast Forgetting" (Kusahau haraka)

livewise1

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
837
Reaction score
972
Good morning Jf!

Kuna hii tabia ya kusahau haraka mara baada ya jambo la furaha au huzuni kupita mda mchache.

Mfano, unaweza uka breakup na mwanamke leo, kesho kutwa tu usha sahau kabisa akili ipo na mengine tu.

Au unaweza kupata promotion Job inayo mark utendaji mzuri wa kazi, ila yaani unasahau haraka tu.

Ni kama vile matukio haya athiri sana akili kiasi yabaki mda mrefu ambao kwa watu wengi wanaona reasonable kukumbuka.

+mazingira yanabaki constant (hujabadilisha mazingira).

Mi binafsi ipo ipo hii kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyewahi kuwa mchumba wangu wa kwanza kuniacha na kukimbilia kuwa na mume wa mtu ilinichukua takriban mwaka mzima kuumia na kusahau tukio lile. Niligundua kuwa kweli nimeamua kuendelea na maisha yangu (move on) baada ya yeye kurejea kwangu kuomba nimsamehe turudiane tuendelee na mapenzi yetu kama zamani lakini cha ajabu hata nilipojaribu kukaa nae faragha sikupata msisimko wa aina yeyote ile wa kimapenzi juu yake kwa zaidi ya mara tatu au nne kwa nyakati tofauti tofauti badala yake nikawa naishia kuuweka tu mkono pale central
 
Hilo ni tukio kubwa sana, wengi huchukua hata miaka 2 kusahau na ku move on , matukio kama haya huwezi sahau eti siku 2 au week tu mbalizi1,
 
Wewe utakuwa na tatizo la usahaulifu kwa ujumla, yaani unaweza pia ambiwa ulete kijiko ulafu unaleta kisu, au sahani, au usilete kitu kabisa si umesahau,
 
Back
Top Bottom