Tobechukwu
Senior Member
- Oct 15, 2018
- 112
- 417
Mengine yanaumiza hadi unaona yanasimamisha mda ambao ni tiba. Asante mkuu.
Asante dear ntajaribu kujitoa out.nalia kwanza mpaka simanzi iishe halafu naenda sehemu nzuri hasa Sea cliff nakaa pale natafakari maisha yalivyo mazuri. basi nikienda several times baada ya muda inaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba unichek wewe.Nicheki pm kama upo serious na kupata suluhu ya tatizo lako
Unataka kumla kimasikhara wewe! Umuongezee machungu.Njoo pm au nitafute 0756 695846 nikushaur mi ni Doctor
Ni kweli mimi nilifaidika hapa, kuna siku moyo ulikuwa unataka kusimama nikafarijiwa na watu wema humu ndaniAndika hapa kinachokutatiza utapata kitu na utaondokewa na hiyo hali kwa faraja na ushauri utakao pata hapa, wengi wamesaidika hapa jamvini.
Mengine yanaumiza hadi unaona yanasimamisha mda ambao ni tiba. Asante mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app