Maisha ya Mapenzi: Kabla na baada ya kupata pesa

COBOL

Senior Member
Dec 21, 2013
112
250
Kipindi flan wakati siko vzur sana kimaisha au kifedha, nilidate na slay queen mmoja hivi ambae nilitokea kumpenda sana. Alikua mzuri sana, aliniacha miaka michache iliyopita.

Nitatumia mfano wa huyu slay queen kama summary ya cases nyengine nilizowahi kupitia kwa wadada wengine tofauti.

Mwaka 2016, Jumapili moja hv nimeenda kutembelea nyumban kwa wazazi, iliingia message anasema,

"Am sorry for this lakini, I'm lettting you be."

Kwa kiswahili ni kwamba endelea na maisha yako.
.
.

Moyo uliuma sana. Sanaaaa, nilimpenda sana yule bidada aisee.

Cha ajabu ni kwamba, nimetoka ku-xxx nae last weekend.

Alisema anataka kuja kuona ninapokaa kwa ss. Ila kwa ninavyowajua hawa wadada ss hv, ni kwamba alitaka kuja kujua au kunipimia nimepiga vpi hatua kwenye maisha yang baada ya kuachana nae.

Mwanamke Akikukuta hujapiga hatua sana, au umerud nyuma, basi atakua amepata sababu ya kujiaminisha kuwa ilikua maamuzi sahihi kuachana na wewe pia anaweza hata akakupotezea mazima, kwa dharau.

Ila ukipiga hatua, wengi hawato onyesha wazi, lakini moyoni wanajutiaga sanaa, wachache mpaka watakufungukia kwa mdomo, (yote haya nayajua kwa experience)... labda mdada awe hakupendi kabisa hata kukusikia, ila bado kwa namna flan kitamkaa moyoni.

Katika hii state mdada anakua vulnerable sana to havng sex with you. Ukizijua karata zako na kuzicheza vizuri anaweza kuwa manzi wako tena au ukaamua kupiga tu na kuacha kama nilivyofanya.

Vijana tutafuteni pesa, sahau sahau wanawake kwa muda kdgo. Tafuta maisha, pesa ongezea na gari. Utapata wadada classic sana. Wenye adabu zao.

 

Lord eyes

JF-Expert Member
Aug 2, 2018
7,396
1,995
Hi stori nzuri tatizo fupi mnoooo party 2 lini mkuu tunasubiri kwa hamu
 

MIGUGO

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
1,611
2,000
What is a poor man doing around love...Asked one rich man.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom