Talaka: Tulioachwa na kuachika vipi kuna mabadiliko?

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,663
7,738
Una mda gani tangu umeacha au kuachika vipi unajutia maamuzi yako au unajivunia kwa nini,mimi binafsi mabadiliko ni makubwa sana tena sana Tuuu! Yaani sijui nilichelewa wapi?
 
Nina siku tatu ila sina uhakika kama ni mimi huyu niliyefanya maamuzi! Mambo hayakuwa mazuri nikiwa nae ila naona kama yatakuwa worse... Sijui.
Tuliza akili fanya kama amekufa... Vinginevyo utaona mwenzio anaishi kwa furaha wewe unajijazia BP, sukari, pumu, umasikini, wazimu, ukichaa, uzezeta mwisho.....

Kubaliana na hali ingawa ni ngumu. Pole
 
Una mda gani tangu umeacha au kuachika vipi unajutia maamuzi yako au unajivunia kwa nini,mimi binafsi mabadiliko ni makubwa sana tena sana Tuuu! Yaani sijui nilichelewa wapi?
Kuachwa na nani unamaanisha?
Maana wapo walio achwa na wazazi, wapenzi, hawara, rafiki, mwenza, mke/mume na mambo kama hizo
 
Nimeshadate wanaume wawili

Wa kwanza aliniacha,huyu wa pili one thing for sure ni kwamba siji kumuacha labda aniache yeye... huwa sina moyo wa kuacha mtu

Wa kwanza aliniacha miaka mitatu iliyopita
Yule wa JF umegoma kabisa kuonana nae?
 
Ok
tapatalk_1575219380147.jpeg
tapatalk_1565765450807.gif
 
Nimeshadate wanaume wawili

Wa kwanza aliniacha,huyu wa pili one thing for sure ni kwamba siji kumuacha labda aniache yeye... huwa sina moyo wa kuacha mtu

Wa kwanza aliniacha miaka mitatu iliyopita
Wanaume wawili tu?!! Kwa maana ya moja mbili...!! Au hujui kuhesabu, au kuna wengine hukuwapa hadhi ya mwanaume...?! Siamini joanah
 
Back
Top Bottom