KANYEGELO
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,304
- 5,010
MWANAMKE ZINGATIA HAYA WAKATI WA KUOMBA PESA KWA MWANAUME
Ukweli ni kwamba raha ya mapenzi ni pamoja na kupunguziana makali ya maisha. Na katika kupunguziana uko makali ya maisha ndio matumizi pesa yanapochomoza.
Kusaidiana ni kwa pande zote iwe kwa mwanamke kwenda kwa mwanaume au kinyume chake, Ingawa kwa kiasi kikubwa ni wanaume ndio wanawajibika zaidi kutunza wapenzi au wake zao.
Nilichotaka kuwakumbusha wanawake zaidi ni kwamba kweli ni haki yao kutunzwa na waume zao lakini kunavigezo na masharti uzingatie kwa mfano:-
1. Mda gani hasa unapaswa kuomba HELA tangu mahusiano kutokea.
Mapenzi ata wiki bado umeshaomba uchongeshewe kabati LA vyombo.
Haiwezekana kuomba HELA Mara tu mpenzi wako anapokuomba kukutana ata kwa salam tu za kawaida. Mkutano WA kwanza ushaomba HELA ya kusukia mweeh.
2. Usimuombe HELA kwa mume au mpenzi ambayo anatoaga ata bila kuomba, ni uroho.
3. Angalia aina ya kazi anayofanya mpenz au mume na kipato chake ujue aina ya kizinga kinachomfaa, usije kumuova dozi.
4. Weka nafasi ya kutosha kati ya kizinga kimoja na kingine.Isiwe Jana pango ya NYUMBA imeisha, wiki ijayo simu imeingia kwenye ndoo ya maji .
5. Muandalie mazingira mazuri ya furaha kutoka kwako,ikiwezekana baada ya kumpa mavituz yalioenda shule ndio unamkurupusha na kizinga.
6. Kukosa kupo pia sio kila utakapoomba utapata wakati mwingine atakua anasaidia na ndugu pia.
Mume au mpenzi akikuambia cna ujue ana na inatakiwa maisha yaendelelee sio ndio unaanza cm hapokei ppchi hautoi sio poa.
7. Vizingi vikue taratibu usianze tu kuomba laki noo!, anza na kitu cha msimbz then unaangalia upepo ukiona anakuja poa unaendelea usikurupuke tu.
8. Pima aina ya mapenzi unayotoa kwa mtu yana hadhi ya kupewa unachotaka kutokana na ulichotoa. Umenipa mende kafa,laki yangu unaitaka ya nini? Yako wewe ni 5000 kwa services hii. Ikizidi ni sh 7800 kama wanaume tulivyokubaliana kwenye kikao chetu
9. Jitaidi na wewe kumpa chochote ata kama kitatokana na HELA yake nwenyewe poa tu si anajua wewe huna kazi na kipato chako kidogo.....nipe nikupe sio ww tu mtaka kuvuna muda wote
10. Sio lazima kila mkikutana kimwili lazima afungue pochi cku nyingine muagane tu..... Kuna watu waajabu mno udhani kila gemu inamtonyo sio ivo...yaani wapo kama WANAOBET KILA MKEKA NA KARATASI YAKE ,
Kama kila game unataka hela si useme tu kama unauza iieleweka unasingizia hela ya sabuni gani unazonunua ..eti ya sabuni nyooo hujioni hata uso ulivyokukomaa kama sufuria limekosa still waya
Muwe na jioni njema najua jiwe gizani ....ila mpone mnakera sana
sent from toyota Allex