JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 8,377
- 11,816
Wadau nilibahatika kutembelea nchi fulani kwa mwaliko wa rafiki zangu huko. Kimsingi nilijighalimia nauli ila wao walinipatia sehemu ya kulala na kula ilikuwa juu yao.
Basi bana , katika pita za huku na kule ndani ya week moja niko shopping mall akatokea mtoto mkali akiwa peke yake nami niko peke yangu maana wale wadau wangu walikuwa kwenye mishe.
Nikamsalimia yule mtoto nae akaitikia. Kama kawaida nikajifanya mgeni kabisa ndipo nimefika leoleo. Nikawa naamuulizia mambo mengi nae akawa ananieleza vizuri kabisa.
Nikajiuliza, huyu nimnaseje? Mbona anaonekana mtamu sana kwenye 6 kwa 6?
Nikakumbuka ujanja mmoja. Nikajifanya nauliza namna ya kupata line ya simu. Akanielekeza , nikamuomba kama ana mda anisindikize nikanunue nae mtoto akakubari.
Nikanunua laini ya simu afu tukabadilishana namba na mchezo ukawa umeishia hapo.
Kesho yake naamka tu nakuta kanitumia sms ya kunisalimu. Nami nikakubari nikasema safi.. mdogo mdogo mtoto anakuja.
Nikamuomba tuonane nae hakukataa akasema kesho yake yupo free.
Mwanaume nilikuwa nimebe bakiza siku mbili nirudi ilibidi niongeze siku hadi nimunase huyu mtoto. Hakika alininyima usingizi.
Nikawatonya wadau kwamba naongeza mda ili niujue mji ule vizuri.
Kwa vile wao walikuwa wamenipangishia apartment kwa mda ilibidi wakaongeze tena kama week moja.
Basi kesho yake yule mtoto akanitext tena kama kawaida. Tukaelewana tuonane saa kumi jioni kwenye ngahawa. Mwanamme nikaanza kujifua. Mida ilipofika nikajongea eneo la makutano. Looh mtoto alinipigia kiwalo hadi nikadata.
Nikamuagizia vitu anapenda kisha nikamsifia kisha nokamueleza masikitiko yangu nae akayaelewa.
Kimsingi nilimwambia natoka TZ, ila kwa mda ule nina kama miezi miwili nikiwa safari za Germany, U.K n.k so nilikuwa npweke sanaa.
Nikalialia basi mtoto akanambia atanijibu. Nikarudi ghetto.
Kesho asubuhi akatext kama kawaida.
Nikamuomba kama anaweza kuja ghetto, nae hakukataa, kumbe hapakuwa mbali na kwao.
Nikaenda zangu kanunua kabisa kondomu ili nijiandae kabisa.
Mida ya saa kumi jioni mtoto akanitext kuwa anakuja.
Alipofika tu, nikapigwa busu wakati namuwao, nikajua tayari.
Alipoingia tu ndani ananambia kuwa hakai sana hivyo twende chumbani tukaongea.
Ile naingia tu chumbani akanipa pole kwa upweke huku akinishika mikono.
Moyo ukaenda mbio na dushe nikawaka moto.
Hakika nilimufaidi, na akaniahidi kunipa kampani hadi siku naondoka. Nilimla kama siku tatu hadi naondoka.
Baada ya siku mbili tangu tufanye ule mchezo bili ikaja bana.. anashida na hela kama laki 4 hivi.
Wakayi huo nimeshatumia kama elfu 80 kwa ajili yake. Hapo ndo nikasema looh kumbe wanawake wako namna ile sehemu zote?
Kiukweli niliwakilisha vizuri taifa langu kwenye 6×6.