Mapenzi na wamama vibonge

Mapenzi na wamama vibonge

antar100

Member
Joined
Feb 8, 2020
Posts
26
Reaction score
31
Nina miaka 28 ila Nina tatizo LA kupenda wanawake watu wazima nikipata msichana mdogo nahis kuto enjoy mapenz na wamame wenyew ninao watamani wawe vibonge sasa sijui Nina tatizo la saikolojia mana naweza nikalala na msichana wa rika langu nisipate hata hamu ya kurudia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unatatizo gani hapo?


Endelea kujilia vizuri.... usiishie kuwala na kuwatia mimba sasa...waoe.
 
Aiseee nimejalibu sana kutafuta wa rika langu ila nashindwa kabisa nikiona mmama tu alafu kibonge bac hapo nitafanya juu chini hata kutumia kias gani niwe nae tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom