Linda kaniacha

Linda kaniacha

Junior Rutashoborwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2019
Posts
228
Reaction score
210
Kuanzia mwanzo wa mwezi wa pili, nimekuwa mtu nisiyejielewa. Nimechanganyikiwa kiasi cha kutojitambua.

Nimekua mlevi kupindukia...najikojolea hadharani. Nahitaji msaada wenu wanaJF. Ninyi ndio ndugu zangy pekee mliobaki hapa duniani.

Juzi nimelewa mpaka kufikia hatua ya kuibiwa gari yangu. V8 ya kijani. Kama kuna mtu ameiona mtaani naomba anisaidie...

Yote haya yamesababishwa na Linda. Jamani Linda ameniacha. Nifanyeje....nakufa mie.

Nimepelekwa London kwa wataalam wa Psychology lakini hali inazidi kuwa tete. Juzi kati nmeibiwa hela ya taadhari 6,000,000 nikiwa bar hpa mtaani kwetu. Yote sababu ya ulevi wangu.

Naomba ushauri wenu ndugu zangu...maana hata kazi za kampuni haziendi...ni ulevi tu...

Nyumbani wameona wanizuie kuchukua gari...wameniachia Harrier ya 2018 ambayo hata ikiibiwa hawatasononeka sana.

Msaada wenu wapendwa.
Ukoo unaenda nitenga sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kwa iyo yule myahudi kakumwaga
 
Duuh asee wahaya [emoji119][emoji119]
 
Mkuu umesahau kutuambia hua unakunywa pombe za shilingi ngapi kwa ujumla na hua hua unatoa ofer kwa wana na kuwanyeshwa bia za milioni ngap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Linda yupi?yule wa DUCE?Bonge hv ana msambwanda wa kutosha!!!hata mimi ningezimia kabsaa!pole sana mkuu!!!
 
Hivi tangu mwezi wa pili uanze pana Sikh ngapi hadi yote hayo yakukute? Halafu mbona in kama kutengeneza mazingira flank ya kujimwambafai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom