Hii inamaanisha nini

Hii inamaanisha nini

gasgas

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
1,098
Reaction score
994
Nampenda ananipenda. Tumefahamiana kwa muda kama wa mwezi mmoja.

Siku hiyo ananialika nyumbani kwake tuonane baada ya kutoonana muda mrefu. Najiandaa freshi naenda.

Njiani napitia keki na yoghurt kama zawadi. Nafika kwake ananipokea kwa fujo, kiss na hugs za kutosha.

Ananilisha keki na yoghurt. Then anaweka movie tunaangalia. Ni comedy movie nzuri na nnafuatilia kwa makini. Mara ghafla movie inapigwa pause.

Ananivamia na kuanza french kiss, kama nusu saa nzima, ukishika kwingine unaambulia kibao. Na ukicheki sina interest ya kitu chochote on that particular day.

Basi baada ya hiyo session kuisha movie haiendelei tena naaga naenda home.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitaka aseme kwa kutumia nini ili ujue kuwa alitaka umgegede.
Halafu unakuja kutuuliza eti ina maanisga nini.
 
Nampenda ananipenda. Tumefahamiana kwa muda kama wa mwezi mmoja.

Siku hiyo ananialika nyumbani kwake tuonane baada ya kutoonana muda mrefu. Najiandaa freshi naenda.

Njiani napitia keki na yoghurt kama zawadi. Nafika kwake ananipokea kwa fujo, kiss na hugs za kutosha.

Ananilisha keki na yoghurt. Then anaweka movie tunaangalia. Ni comedy movie nzuri na nnafuatilia kwa makini. Mara ghafla movie inapigwa pause.

Ananivamia na kuanza french kiss, kama nusu saa nzima, ukishika kwingine unaambulia kibao. Na ukicheki sina interest ya kitu chochote on that particular day.

Basi baada ya hiyo session kuisha movie haiendelei tena naaga naenda home.



Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nyuzi za kijinga Kama hizi msitegemee kuwa maarufu JAMIIFORUM
 
Kama ulikuwa ukishika sehemu
"Ana kupiga kibao" ufanyeje?
Wengine udereva wetu ni wa NIThuwezi kuendesha bila kupima oil.
Uko vzr tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetengewa chakula mezani bado upo unashanga shangaa tu bado! hauwezi kuwa katika chama cha mabaharia ww au mchele ww?
 
Back
Top Bottom