vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,599
Habari wakuu,
Nimefika kazini mapema leo kama kawaida yangu, ili nipate kama nusu saa ya kupumzika na kutafakari na kupangilia kazi zangu za siku nzima...
Sasa nikiwa katika kutafakari kuna jambo nimelikumbuka limenichanganya kidogo....
Huwa tuna kawaida ya kila weekends mimi na mke wangu kufanyiana usafi ikiwemo kunyoana nywele za chini na makwapani. Huwa tunafanya hivi weekends...
Sasa imepita kama wiki 3 nilikuwa busy sana sikumnyoa. Sasa jana usiku nimetoka kazini akaning'ang'ania nimnyoe na hakutaka kabisa kusubiri weekend. Mzee mzima nikachukua kinyoleo nikaanza kazi huku namtania tania na kumtekenyaa hapa na pale...
Sasa kinachonichanganya ni hiki. Wakati namyoa nikabakisha vinywele flani nikamtania kuwa hivi tuviache nitamalizia weekend. Akanijibu..
"Mmmh malizia bana si nitaonekana kituko mie"
Nikacheka nikammalizia, tukaoga tukalaa. .Sasa wakati natafakari mambo yangu hapa job ndo nikaimbuka ile statement yake.

Hivi sijui alimaanisha nini...ataonekana kituko na nani?
Mbaya zaidi nampigia hapatikani na nimeondoka simu yake ina chaji full maana alitumia chaja yangu usiku mzima...
Sijui niombe ruhusa naumwa nirudi nyumbani?
Au shetani tu ananiletea mawazo mabaya?
Hivi inawezekana kweli mke wangu akawa ana.......
Hapa naandika huku machozi yananilenga lenga.
Embu nipeni ushauri jamani