Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanajukwaa habari zenu, Nmeamua kushare hii hasa kwa nyie dada zetu msiokuwa na shukrani. Binafsi mimi huwa nagharamia kwakwel madem nlodate nao lazima wanisifie kwa hili nipo vzr. Na kimchepuko...
10 Reactions
108 Replies
9K Views
Nashukuru wadau, kwa sasa zoezi limesitishwa. First come First Served Asanteni sana. Muhusika anadeal na dada aliyejitokeza kwa sasa. Naomba niwe dalali/kuwadi leo. A good friend of...
0 Reactions
6 Replies
820 Views
Huku nchi nyingi za Afrika zinapofanya mila ya ukeketaji wa wanawake,nchini Rwanda hali ni tofauti,sehemu nyeti haikatwi badala yake hurefushwa hadi kufikia urefu wa kidole cha katikati. Mila...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
[emoji3532]Wanawake wenye umri wa miaka 18 hadi 22 wana mapenzi ya kweli. [emoji3532]Wanawake wenye miaka 22 hadi 24 wana mawenge. [emoji3532]Wanawake wenye miaka 24 hadi 27 wanajitambua...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Hii imetokea kwa mmoja wa ndugu yangu aisee...siku ya kwenda kumvisha pete mchumba wake watu walishangilia sana upande wa mwanamke,kumbe kule kushangilia wanafurahi bomu la atomic linawatoka...
8 Reactions
73 Replies
6K Views
Habari wakuu? Nimeona niwawahishie taarifa motomoto kabla haijapoa, Leo asubuhi baada ya mishe zangu kufeli nikapendelea kwenda kupoteza muda kwa rafiki yangu ambae ni mganga wa kienyeji, nje...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna manzi nimekutana naye leo jioni hii saa moja hapa ofisini kwangu, nikaomba namba kanipa baada ya sms mbili tatu katiki kaingia kwenye laini. Nikamuomba tukutane nikishafunga ofisi saa tatu...
9 Reactions
66 Replies
10K Views
Saikolojia inatuambia! Watu huishi kwa misingi ya chimbuko! Muasisi wa jambo flani hurithisha tabia kwa wafuasi wake kizazi hadi kizazi! Mfano; Chimbuko la wahehe kujinyonga lilianzishwa na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanawake wapambanaji huwa hawasherehekei valentine Wengi wako bize na mambo ya msingi ya maendeleo ya taifa na familia zao. Ila wale vicheche sasa,ambao sio wapambanaji kimaisha au kwa lugha...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari yenu wana jf Hatimaye leo tarehe 14/02/2020 ikiwa ni siku ya wapendanao muda saa 00:38 nimeachwa rasmi na aliyekuwa girlfriend wangu . Sijajua tatizo nini lakini nahisi itakuwa n sms zake...
1 Reactions
98 Replies
8K Views
Sio kila ndugu anafaa,sio kila ndugu anayekuomba msaada kashindwa ,walio wengi wanakuja kwako kwasababu wameshagundua pesa zako huna malengo nazo zipozipo tu,wanakuona mpumbavu fulani,fanya...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Habar za muda huu ndugu wanajukwaa,naomba huu uwe ni uzi maalumu kwaajili ya ku-share mambo muhimu yanayohusu mahusiano na mambo mbalimbali yanayohusu valentine (ikiwa ni pamoja na historia ya...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Ni juzi tu nilikuwa na Joyce, Ambaye kwenye list wewe ni Joyce wa5 kukugegeda. ~Jesca nilidum nawe nikakuahidi kukuoa, ila umbali ulitutenganisha, pole sana ~Josephine mpo wawili na sijawaacha...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Siku girlfriend wako akiamishwa kikazi, shule, kozi au kwa ndugu my brother hata kama mna wasiliana kwenye simu tegemea mambo haya: Mawasiliano kupunga Kila siku ubize kuongezeka Kupokelewa simu...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Jamani naitaji Rafiki awe na chura mwenye Tabasamu,miaka kuanzia 25_30 Kama upotayari njoo tuanze Safari ya ndoa
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadada wa Kiaftika hawajiamini na hupenda kujilinganisha na wa kizungu. Kuvaa mawigi, kujichubua, kujkondesha nk. Je Dada zetu wanajiona hawafai dhidi ya wanawake weupe. Mimi naona Dada zetu...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau naomba mnishauri,nifanye nini?baada ya kuwa kwenye uhusiano na mpenzi kwa miaka mitano na baadae kuamua kumwacha kwa jili ya ulevi wake wa kupitiliza nahisi au najikuta simwamini na wala...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Mim binafsi vitu vyote major ambavyo nimenunua,kibubu ni Bi mkubwa. Mimi mwenyewe sijiamini kuweka hela kwenye account zangu,nampa bimkubwa anaweka kweny Acc yake Weekend nimeenda mtembelea...
11 Reactions
202 Replies
13K Views
Morning love, Happy Valentines🥰😘😍😍 Nakupenda sana, through wewe nimejua why watu hujiua kwa mapenzi, watu hukonda kwa mapenzi, watu hulilia mapenzi, najua huwezi kuamini haya lakini haiondoi...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…