Kuna siri ambayo wanaume hawaijui kuhusu wanawake.

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
5,731
Reaction score
21,734
[emoji3532]Wanawake wenye umri wa miaka 18 hadi 22 wana mapenzi ya kweli.

[emoji3532]Wanawake wenye miaka 22 hadi 24 wana mawenge.

[emoji3532]Wanawake wenye miaka 24 hadi 27 wanajitambua.

[emoji3532]Wanawake wenye miaka 27 hadi 30 wana hofu na mashaka mengi.

[emoji3532]Wanawake wenye miaka 30 hadi 35 wana msongo wa mawazo.

[emoji3532]Wanawake wenye miaka 35 hadi 42 ndoa nyingi huvunjika.

[emoji2410]Kwa hiyo, kuwa makini na wanawake na wanaume hasa wanawake na wanaume wa kundi la sita. Wanawake na wanaume wa kundi la sita, wengi wao wana DNA ya wapenzi wao wa zamani.

Je wewe uko kundi gani ????
 
Kwa hyo mwanamke wa miaka 35-42 alipitia stage zote hizo za nyuma?
 
Mwisho wa siku unatushaurije sisi tunaotafuta mchumba.tumtoe kundi gani kati ya hayo
 
Mleta mada una wenge kinyama

Haiwezekani uandike mpaka 22 wana mapenzi ya kweli halafu uanzie 22 tena wawe na mawenge
Usipanic binamu anazungumzia wanawake wa ukoo wao...
 
Mleta mada una wenge kinyama

Haiwezekani uandike mpaka 22 wana mapenzi ya kweli halafu uanzie 22 tena wawe na mawenge

Mtoa mada nae ana wenge mbaya! Kaandika mbio kama anakimbizwa hata kupanga range kashindwa.

16-20 Fantasies (Mapenzi ya kitoto)

21-24 Transition period (Wenge) on finding herself..anabadili wachumba kama hana akili nzuri.

25-33 Maturity stage (utulivu on increment) kajua anachotaka maishani.(Wife mode). Ubaya wengi hapa ndipo wakijichanganya wanabebeshwa mimba na kuachwa single.

34 >> Anajikatia tamaa na msongo wa mawazo kumuandama hasa akiwa hana hata mtoto!
 
Huu ni utafiti ama?mana hiyo 21-24 sioni kama inaelekeana na ukweli kabisa
 
Kundi la tano wanakuwa na ugonjwa wa kuweweseka mawazo mengi umri umeenda ataolewa lini na umri ndio ushaenda
 
Back
Top Bottom